Beki wa Kagera Sugar, Said Mourad (kushoto) akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Moro United, Yusuph Mayai katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar. Timu hizo hazikufungana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nafurahishwa sana na michuzi kwa kupost hizi habari za ligi yetu hapa bongo that is what patriotism is all about why do we have to follow the premier league and forget about our own local league mzee.THAT IS JUST SO NICE KEEP IT UP

    ReplyDelete
  2. Ningeomba kutoa ombi Mr. Michuzi. Ningeomba siku utupigie picha kutoka upande mwingine wa uwanja ili back ground iwe ya Majukwaa nadhani kidogo itapendeza. Hapa wanaonekana kama wanacheza Uani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...