waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais muungano muhammed seif khatib akimsikiliza spaka wa baraza la wawakilishi pandu ameri kificho wakati alipowasili uwanja wa ndege wa karume kisiwani pemba kulia mwakilishi wa jimbo la Koani Haji Mkema kiongozi wa upinzani Baraza la wawakilishi Abubakar Khamis.
Juu na chini Waziri wa nchi ofisi ya makamo wa Rais (Muungano) Mh. Mohammed Seif Khatib akikagua waya wa umeme uliyotandikwa kutoka Tanga baharini huko Mkuumbu kisiwani Pemba. Pili kulia ni Ofisa mzamini maji, ujenzi, nishati na ardhi Bw. January Fusi anaefuata Meneja shirika la umeme Pemba Salum Masoud, Naibu katibu mkuu ofisi ya waziri kiongozi Msham Abdallah na Naibu mkurugenzi Ofisi ya makamo wa Rais




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...