Mojawapo ya kitalu cha kufanyia utafiti wa zao la mahindi kama inavyoonekana pichani, mahindi yakiwa yamefunikwa kwa mifuko ya karatasi ikiwa ni njia ya kitaalamu ya kuzalisha mbegu dume na jike katika Taasisi ya Utafiti Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,Uyole,mkoani Mbeya. Picha na mdau Thomson Mpanji wa Mbeya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mimea ina jinsia?

    ReplyDelete
  2. Kumbuka elimu yako ya msingi, shemu ya juu ya mahindi (maua) yana jinsia ya kiume na Sehemu ya kike ni zile ndevu za mahindi, kwa hiyo sehemu dume hutoa mbegu za kiume na kuzimwaga kwenye ndevu za mahindi kwa njia ya upepo (uchevushaji)

    ReplyDelete
  3. Wadau nauliza, kuna watetezi wa haki za binadamu, watetezi wa haki za wanyama. Je? Kuna watetezi wa haki za mimia?????? Na kama wapo huu si unyanyasaji na unyanyapaa wa mimea?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...