hapa ni Kinyaiya pub, kiota kipya cha maraha kinachomilikiwa na kuendesha na mtangazaji machachari wa mambo ya burudani katika kituo cha TV cha Channel 10 jijini Dar. Kipo nyuma ya Mango Garden, Kinondoni, na tayari kimeanza kuwa gumzo jijini Dar kwa huduma safi za vilaji na nyama choma pamoja na kampani ya watoto wa mujini
Luninga kuuuubwa linalorusha matangazo ya DSTV lipo kwa pembeni ambapo wadau wanajionea mechi za Uingereza pamoja na za Mataifa ya Afrika bureeeee...
Mmiliki na mwendeshaji wa kiota hicho, Ben Kinyaiya, akiwa katika ukumbi wa ndani wa Kinyaiya pub ambao ni full kiyoyozi na muzikin wa kufa mtu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ebwana vp wewe robert cape brother wako hapa nakuona na pub lako wape hi vijana

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Ben. Ukijutuma maishani, matunda yake utayaona.

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri tunataka maendeleo......nategemea kutembelea kiota hicho nikitua Dar.

    ReplyDelete
  4. ADILI NA NDUGUZEJanuary 25, 2010

    Saafi sana kijana.

    ReplyDelete
  5. JAMANI MTATUUWA NA MAKELELE MITAA HIO MAANA KUNA MANGO,NA NYINGINE NYINGI MAENEO HAYO USIKU NO LULALA MAKELELE YA MZIKI MAHONI DA YAANI WE ACHA TU.

    ReplyDelete
  6. Hongera kijana kwa kujituma. Kijana unatakiwa uwe hivyo mzee.

    Tutatia timu tu kwenye hicho kiwanja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...