Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kyala abasajege Bamama bitu.

    ReplyDelete
  2. Nakushukuru sana bro Mithupu kwa kuwatoa hawa kina mama, maana huyo mama ambaye ni mweusi kidogo ni shangazi yangu wa pale Katumba.
    Mungu wabariki kwa kueneza Neno

    ReplyDelete
  3. Nimefurahi sana kuwasikia ndugu wanyaqusa wakiimba yaani hii lugha kweli ya kimataifa, tena wakinamam wako very natural hakuna mikorogo

    ReplyDelete
  4. ndaga fijo miposi yaani ahsante sana michuzi. umenigusa, umenikumbusha Tukuyu, kwetu. Ubarikiwe sana.
    Mdau

    ReplyDelete
  5. kaka mithupu nashukuru sana kwa wimbo huu nimekumbuka home land tukuyu mimi ni mdau nipo usa

    ReplyDelete
  6. SAFI SANA, UNANIKUMBUSHA MBEYA ENZI HIZI NAENDAGA FOR SHORT COURSES ZA NBC BANK

    ReplyDelete
  7. Kyala abasajege mwee,mwanzo kabisa nilijua hili Kanisa ni la pale Kyimbila- Tukuyu hakika linafananan sana kwa matazamo wake na kwa kweli nimekumbuka sana sauti hizi hasa ninapokuwa huko nyakati za mapumziko na hija ya Christmas,kwa kweli nimefarijika sana na nyimbo hii nawatakia wote watu wa Tukuyu na vitongoji vyake amani tele na mafanikio katika mwaka huu mpya 2010 mungu awazidishie pale mlipomtolea bwana.
    Mdau Japhet B. Stephen
    Tukuyu-Ushirika

    ReplyDelete
  8. dah..nimekumbuka sana nyumbani...ndaga fijo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...