Home
Unlabelled
kwaya ya kinamama tukuyu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kyala abasajege Bamama bitu.
ReplyDeleteNakushukuru sana bro Mithupu kwa kuwatoa hawa kina mama, maana huyo mama ambaye ni mweusi kidogo ni shangazi yangu wa pale Katumba.
ReplyDeleteMungu wabariki kwa kueneza Neno
Nimefurahi sana kuwasikia ndugu wanyaqusa wakiimba yaani hii lugha kweli ya kimataifa, tena wakinamam wako very natural hakuna mikorogo
ReplyDeletendaga fijo miposi yaani ahsante sana michuzi. umenigusa, umenikumbusha Tukuyu, kwetu. Ubarikiwe sana.
ReplyDeleteMdau
kaka mithupu nashukuru sana kwa wimbo huu nimekumbuka home land tukuyu mimi ni mdau nipo usa
ReplyDeleteSAFI SANA, UNANIKUMBUSHA MBEYA ENZI HIZI NAENDAGA FOR SHORT COURSES ZA NBC BANK
ReplyDeleteKyala abasajege mwee,mwanzo kabisa nilijua hili Kanisa ni la pale Kyimbila- Tukuyu hakika linafananan sana kwa matazamo wake na kwa kweli nimekumbuka sana sauti hizi hasa ninapokuwa huko nyakati za mapumziko na hija ya Christmas,kwa kweli nimefarijika sana na nyimbo hii nawatakia wote watu wa Tukuyu na vitongoji vyake amani tele na mafanikio katika mwaka huu mpya 2010 mungu awazidishie pale mlipomtolea bwana.
ReplyDeleteMdau Japhet B. Stephen
Tukuyu-Ushirika
dah..nimekumbuka sana nyumbani...ndaga fijo...
ReplyDelete