Bwana Michuzi tunapokaribia uchaguzi ebu tuwekee......mdahalo huu wa jana kati ya waziri Mkuu Wa UK na Kiongozi rasmi wa Upinzani.
Tuangalie kama kuna la kujifunza hapo.

Kwa wale ambao hawafahamu Darling ni Waziri wa Fedha wa UK wa pili kushoto kwa Brown......Utasikia maneno "I love you Darling"....Inasemekana Gordon Brown ametofautiana na waziri huyo katika mikakati ya kupunguza deni la UK.

Mdau JB.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. MDAU ALIYETUMA VIDEO HII NI KWA KIFUPI NA UKWERI NI TORY. LAKINI NATAKA KUMKUMBUSHA TU YUKO TAYARI NHS KUWA UNALIPIA NA PIA MAKARATASI YAMETULIA KWANI TORY CHA KWANZA NI WAGENI NEXT NHS NDIO MAANA MMOJA WA TORY MUP ALITOBOA SIRI YAO MAREKANI KUTOMSAPOTI OBAMA KWENYE MAMBO YA HEALTH CARE REFORM NA KAMA WEWE MGENI UNATAKIWA KUWA NA LABOUR NDIO WETU PM BROWN ALIKUWA ANAMWAMBIA VITU VYAKE VYOTE DAVID AMBAYO ALISEMA NA VISINGESAIDIA NCHI MPE CREDIT PM BROWN AMEFANYA VIZURI SANA SI TU UK, GLOBAL.

    ReplyDelete
  2. how i wish viongozi wetu wa juu wangekuwa na debates kama hizi. wengine vigugumizi vingepotea

    ReplyDelete
  3. viongozi wetu waoga, hawasubhutu hata kusema kitu, kisa watafanyiwa kitu mbaya, du kweli tz mwendo wa kinyonga, hatufik ngo!

    ReplyDelete
  4. subuthu nina uhakika katika uhai wangu sitakaa nione haya yanatendeka katika Bunge la Tanzania kama tayari upinzani wamezuiwa kusimamisha wagombea katika serikali za mitaa hapo juzi tusubiri yatakayotokea hapo 2010!

    ReplyDelete
  5. Michuzi, hivi ndio vitu vya kuwapa waTz na hasa hawa viongozi wetu.Hapo hakuna blaa blaa ni nondo tu.Wabunge wanaingia kujadili mada bila kuwa knowledge kubwa kuhusu hiyo mada...ndio maana wanaishia kuchangia watu wale2 tu. Debate kama hizo ndio zinatakiwa...hata serikali ikitaka kufanya kitu lazima ijuulize mara mbili2 matokeo yake bungeni yatakuwaje...! Bunge letu sio kali...tufanye mabadiliko...uchaguzi unakuja! Kila la heri Tz!
    Mdau, China!

    ReplyDelete
  6. DU HWAW WATU WANGEKUJA BONGOKWA SIKU MOJA TU TANZANIA ITANYANYUKA, REALLY! MAFISAJI KIBAO KILA KORNA,MTU AKISHAINGIA SERIKALI TU BASI ANATAFUTA MANMA YA KUIBA,JUNGA MIJUMBA,MAGARI YA KIFAHARI,NA MENGITU, WAKATINYEREREALIKUWA ANAKAA TU KWENYE NYUMBA YAKWAIDA NA GARIYAKWAIDA. WE MISS YOU BABA

    ReplyDelete
  7. Dahhhhhh kwa Tanzania itachukua muda sana wabunge wetuuu kuwa na debate kama hiyooo kwani wabunge wetu wote hawana objectives data katika majimbo yaooo kwaiyooo unakuta wabunge wa kitanzania wote ni watuu ambaooo wakoo katika masilahi ya maisha na biashara zaooo sioo wananchi waoo ambaooo waliwalagahi kwa kuwapa chochote ili wawe pale na ahadi nyingi ambazooo wanashindwa kuzifanya kama hadithi za kusadikika tena ndioo maana hata jengoo lilivyotengenezwa la bungeni dodoma wabungeee huingia kwenye vikaoo bila maada yeyote mimi ninaomba karimjee iwe bungee kama zamani ili wabunge wawe active ili wawezeeee kuleta maendeleo katika majimbo yaooo siooo kulala tuu bungeni na kuwa wabungeee kutokana na uwezoo wa mali walizokuwa nazooo!
    Mdau dickdada

    ReplyDelete
  8. wabunge wa Tanzania embu angalieni mambo ya wenzenu hayo!!! alafu wenzenu wakimaliza hapo na mara nyingi ni saa za usiku, wanakwenda kupanda matreni kurudi nyumbani, au baiskeli au magari waliyonunua na pesa zaoooooo.....

    ReplyDelete
  9. Dont forget Tanzania has no foundation for this yet,we would all like to have such debates but we just arrived in the Democracy,we are relatively a new nation now so to speak.All will take time,its good though to show such video clips to the PMs and the public so we can all learn what is really Democracy. All what is discussed is for the benefit of the country so no one can be held for what they say..in such countries everyone knows that.But in our countries not only Politicians but also the public would translate it differently!.We need to grow seing how its done then we can take it from there.

    ReplyDelete
  10. Mdau wa hapo juu wa kwanza kabisa umelonga, wengi wakipata vijikaratasi wanajifanya kusapoti Tory, lakini cha mtema kuni washike nchi wageni itakuwa kubanana!We jifanye Muingereza sana!Rangi yako kwanza itakuhukumu!

    ReplyDelete
  11. TANZANIA WANGERUDISHA BUNGE LA ZAMANI NAMNA YA KUKAA KWENYE KITI SIO KUKAA KAMA STAREHE YA KUZUNGUKA... TUANZE KUKAA KWENYE MAJAMVI HAHAHA> MZ.

    ReplyDelete
  12. ... Maendeleo Tz nayaona yanaanza kuja kwa mbali. Kwa mfano ni vile tope linavyotoka kichwani kwa Gov. "mole" kama brother Michuzi na kuona umuhimu wa hii clip! Taratibu tope linayeyuka!

    ReplyDelete
  13. Kwa hali ya sasa ya kiuchumi duniani GB ndiyo mtu sahihi wa 10 Downing. GB has clear vision ya kuhakikisha uchumi wa Uingereza unapata nguvu zaidi baada ya Recession. Hii kazi ya kurekebisha na kuimarisha uchumi itaangia kwenye historia za siasa za Uingereza, kwa hiyo basi Labour hawawezi kufanya makosa kwenye hili kwani wakiharibu itawawekea doa kubwa kwa miongo kadhaa ijayo.
    GB ni shupavu kabisa katiika uchumi.
    Kwakuongezea ni kwamba Tory inabidi wakae nje ya uzo wa 10 Downing kwa muda huu.

    ReplyDelete
  14. Watanzania hawana utamaduni wa debate.

    Nimeomba debate na nabii mukakataa, sasa musilalamike.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  15. Tory is for the Wealth and Rich Wanna Be's...their policies is for those who went to Eton and Oxford.

    Labour is way to go to...they stand for Each and Every Individual in Britain and beyond (though AID).

    Kama wewe ni Foreigner UK na unapigia kura Concervative you are a Traitor...Period.

    ReplyDelete
  16. this is the political debate at its very best..
    the problem with MPs in Tz is they can't even dare to raise their voices against PM, or other guys above them just because in their heads-the only way to get higher position is through personal favours of those above them-
    This is what is needed in Tanzania
    there is nothing much can be done with the current leadership but lets shape the Tanzania of tomorrow in the right way from Primary level to Tertiary stage.
    last point- that parliament building is too comfortable, we need simple and effective hall like this one- you can even sense there is public interest atmosphere in the building
    Tanzanian

    ReplyDelete
  17. MIMI SIJUWI WANAONGEA NINI HICHO CHA KWANZA ILA PICHA NIMEIKUBALI IPO CLEA ADI NATAKA KULIA. TUANZE NA PICHA MNAZO TUONYESHA KABLA YA KUSIKILIZA WANACHO SEMA

    ReplyDelete
  18. MIMI NISAIDIE SIONI VIZURI HIVI HUYO NI KIKWETE NA MREMA?

    ReplyDelete
  19. MIMI NILIANGALIA KIKAO CHOTE CHA MWANZO CHA MWAKA HUU 2010 UKWELI NI KWAMBA DAVID CAMERON ALIPATIWA NA GORDON BROWN, BROWN ALIPERFORM VIZURI SANA KILA MTU ALIMSIFU, HAO WANAOPIKA KELELE NI BACK BENCHERS WA TORY, DAVID CAMERON NI MWEUPE HAJUWI LOLOTE NA WATU AMBAO WATAKUWA MAWAZIRI WAKE NI NON EXPERIENCED WAKISHINDA UTAONA UK ITAKAVYO YUMBA NOT INSIDE BUT GLOBALLY AS WELL NI WATOTO HAJUWI LOLOTE. BROWN PERFORMED WELL THAT DAY.

    ReplyDelete
  20. David lugha yake pia ni chafu, you can use the word rubbish to you fellow grown up person in an official discussion. NI MTOTO HANA AKILI

    ReplyDelete
  21. Watanzania bure kabisa, badala ya kujadili hoja ya Tanzania kuwa na bunge na upinzani wenye 'meno' wao wanajadili eti tuchague Labour badala ya Conservative.

    Yaani yaleyale ya ushabiki wa kuwa damu yangu ni kijani yenye chembechembe za nyundo na jembe ndio wanayawaza.

    Ukitazama Uingereza, Conservative na Labour wapo kwa ajili ya kuboresha maisha ya Waingereza wenyewe na waingereza 'wakuja'. Hivyo chama chochote kitachotawala Uingereza ni kwa ajili hiyo tu- kuboresha maisha ya waingereza.

    Pia hata Marekani ni yaleyale iwe Democratic au Republican, wao ni kutetea maslahi ya Marekani, iwe Obama au Bush Jr.

    Sasa kwa Tanzania bunge letu linatoa picha ya kuwajali watanzania au wapo kwa ajili ya matumbo yao ndio hoja ya hii clip, je chama tawala chochote cha Tanzania kinaweza kuwa kwa ajili ya maslahi ya Tanzania na watanzania?

    Je chama chochote cha upinzani Tanzania kinaweza kuwa kwa ajili ya maslahi ya watanzania?

    Watawala na upinzani wakiwa bungeni kweli wanajadili mambo kwa kina au wanaonyesha uchovu wa kujenga hoja za kuisaidia Tanzania na maisha ya mtanzania.

    Mdau
    Mwezeshaji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...