Kaka Zangu Dada Zangu na Rafiki zangu Kwa ujumla.
Asalam alaykum kutokana na Dunia ya sasa kuwa ni ya utandawazi na mimi nashukuru nimesoma japo window na dos japo bado sijamaliza masomo yangu nimeonelea nijizoshe haya mambo Network sana mambo Website na Blogu safari yangu inaanzia hapa mkiwa kama wadau wangu ambao nimewaamini sana kwa kutaka ushauri kwenu. Je mnanishauri nini?

ona kazi yangu kwanza kwa majaribio katika:

www.madrasatul-amin.blogspot.com
kisha lete maoni.

Natanguliza Shukrani za dhati kwenu bila ya kusahau kukuta kaka Michuzi kaka Ubuguvu kaka Mjengwa na wote niliowaiga.
na kama mtakuwa mmeipenda kazi

nakukaribisheni sana katoka Globu yenu hii.

Ahsante
Ghalib N Monero.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kaka!kama umeamua kublog kwa namna hii ambayo naamini si wengi wamefanya hivo,basi ushauri na maoni yangu kwako ni ENDELEA,timiza wazo hili zuri na kamwe usiangalie nyuma.Njia unayokwenda ni wachache wameenda na hakika njia hii uendayo ina mafanikio katika maisha yako ya kidunia na kesho kwa mungu.

    Kaka hongera.

    ReplyDelete
  2. very good idea..ukipost na mawaidha na kuitangaza zaidi itakua safi sana,, lkn blog ya dini usiweke wanawake vchwa wazi..

    ReplyDelete
  3. Hongera sana kwa idea nzuri, pongezi nyingi..natia nia kukusuport nikipata chance baada ya muda flani, kwani binafsi ni profesional katika web development..dont worry when time comes..I ll contact u.

    ReplyDelete
  4. Yup ni nzuri ila imekaa kiustadhi zaidi,hata kama mmiliki yupo Misri haijalishi,watu tunataka kuona yanayojiri bwana,tuwekee vitu roho inapenda,weka vitu ka tamaduni za huko,siasa,michezo,sanaa na vinginevyo na sio kutujazia picha za nondooz zisizochangamsha.
    Ni mawazo tu wala msikasirike wadau,
    Sawa mmiliki anahaki ya kuifanya atakavyo ila libeneke lake limezubaa,alichangamshe kidogo unless kama anataka libeneke lake liwe la kidini zaidi,hapo sawa.
    Pull up boy.

    ReplyDelete
  5. mashallah...Nawashukuru Masheikhe wetu wa kizai kipya.Tunaomba muwe mnamwaga darsa za Tasawuf humo ndani sisi wapeni wa Ilm hii tunaikosa mnoNatanguliza shukuran

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...