Mvua kubwa iliyonyesha hivi maeneo ya Babati mkoa wa Manyara
ilisababisha magari yaendayo singida, Dodoma na maeneo mengine ya mkoa huo kukwama na kusababisha abiria waliokuwa wakisafiri kukaa katika eneo la tukio kwa muda wa siku nzima.(MUDAU MESHACK MAGANGA)
ilisababisha magari yaendayo singida, Dodoma na maeneo mengine ya mkoa huo kukwama na kusababisha abiria waliokuwa wakisafiri kukaa katika eneo la tukio kwa muda wa siku nzima.(MUDAU MESHACK MAGANGA)
Picha zaidi
http://magangam.blogspot.com
Matumizi ya LIBENEKE yananichanganya kidogo. Maana sasa tuna Libeneke la 'globu' (blogu) ya jamii, libeneke la Mvua, libeneke la mechi, libeneke la BOT, libeneke la......
ReplyDeleteHuu msimu wa Libeneke unamaanisha nini hasa katika hii jamii yetu ya mithupu?
onyo lilikwisha tolewa na TMA wananchi wachukue tahadhari kwa sababu TMA hawawezi kutoa utabiri ambao ni realtime
ReplyDeleteHilo dongo walilosimama watizamaji limekaa mkao wa kuletea Maafa mengine.. wao wala hawana habari!!
ReplyDeleteHaya mambo ya wabongo kushangaa majanga..sasa hao watu waliposimama hapo huo ukuta ukishuka maana sidhani kama uko imara sana..udongo umeshakunywa maji..halafu wanaweka uzito wote hapo...halafu angalia hiyo kasi ya maji....sasa mbona hatari nyingine za kujitakia..nini kushangaa mto?
ReplyDeleteNinaunga mkono ubainifu wa mdau 06:43 pm. Serikali za mitaa na vijiji zielimishwe juu ya kuwaongoza watu wao kuchukua tahadhari pindi majanga kama haya yanapotokea. Hawa wananchi hawajui kuwa hapo waliposimama kushangaa mafuriko ni bomu linalosubiri kulipuka! Hawakupaswa kuwa hapo. Matumaini kuwa hatutabandikiwa picha nyingine kesho ikionyesha "wananchi waliokuwa wakishangaa wazolewa na mafuriko!"
ReplyDeleteHii ni mojawapo ya kazi za ofisi ya Waziri Mkuu - Mh Pinda umelala?
Mlalahoi
Kwa mfuga mafisadi
mvua ndo hiyo msitudanganye kuwa kuna ukame!!!
ReplyDeleteMichuzi naomba uipost hii habari nimeshindwa kujua niitumeje.It is from Darhotwire. Thanks.
ReplyDeleteKibarua cha mlinzi mashakani...baada ya kujibizana na Ngejeja ATM
Aliweza kuzua tafrani ndani ya mashine ya kuchukulia fedha (ATM) ya benki ya Standard Chartered hapa jijini bongo, mara baada ya kumshushia kichapo mlinzi wa mashine hiyo, Pascal Mnaku.
Si mwingine huyo ni Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, aliyetakakuchusha kibano kwa milinzi huyo.
Inasemekana kwamba mlinzi huyo huyo ni wa kampuni ya Ultimate Security, na zimeeleza kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa 3:00 asubuhi kwenye jengo la Habour View, maarufu kama JMall.
Alinusurika kupigwa na waziri huyo kijana aliyekuwa akizungumza na simu ndani ya kibanda hicho, baada ya kumtaka atoke kuwapisha wateja wengine kupata huduma hiyo.
Waziri huyo alikuwa anatumia muda mwingi kuzungumza na simu ndani ya mashine hiyo badala ya kuchukua fedha wakati msururu mrefu wa watu ukiwa unamsubiri atoke.
"Kwanza mimi sikujua kwamba mtu niliyemwambia awapishe wateja wengine ni waziri. Ni kweli nilimfuata na kumwambia awapishe kwa sababu alikuwa anatumia muda mwingi kuzungumza na simu, wala sikuwa na nia nyingine yoyote mbaya dhidi yake," alisema Mnaku na kuongeza.
"Lakini, waziri huyo ghafla aligeuka na kuanza kunifokea akiniambia wewe unanijua mimi nani?... hunijui mimi! na kunitusi, (matusi yasiyoweza kuandikika)."
Kutokana na hali hiyo alipomjibu kwamba, yeye hakuwa na nia mbaya na alifanya vile ili wateja wengine wapate huduma.
Baada ya kumwambia hivyo akazidisha ukali, lakini watu walipoanza kukusanyika, huku wengine wakimwomba radhi kwa kumtaja jina, alianza kupunguza hasira na kuondoka.
Kwa mujibu wa mlinzi huyo, baada ya tafrani hiyo iliyodumu kwa takribani dakika nane, Waziri Ngeleja aliondoka na baadaye kunako majira ya saa 7:00 mchana uongozi wa kampuni yake ya ulinzi ulimwondoa katika kituo hicho cha kazi na kurudishwa makao makuu.
Alisema saa 9:30 jioni, alichukuliwa na uongozi wa kampuni hiyo na kupelekwa ofisini kwa Ngeleja kwa ajili ya mazungumzo zaidi.
"Baada ya kutokea kwa tukio saa 9:30 jioni wakuu wangu walinipeleka ofisini kwa Ngeleja na kisha akazungumza mengi ambayo siwezi kukuambia na baada ya hapo wakuu wangu wakamuomba msamaha kwa niaba ya kampuni," alisema Mnaku.
"Na kwa sasa maelekezo niliyopata kutoka kwa waajiri wangu ni kwamba, wanalifanyia upelelezi suala hili hivyo hatima ya kibarua changu kinategemeana na majibu ya upelelezi huo," alisema Mnaku.
Mashuhuda wa tukio hilo walilieleza gazeti hili kuwa hali hiyo ilijitokeza baada ya Mnaku kuwahamishia wateja kutoka katika mashine ya ATM ya Barclays iliyoko katika jengo hilo ambayo wakati huo ilikuwa imeishiwa fedha.
"Baada ya Mnaku kuona mashine ya ATM ya Barclays kuwa haina fedha, ndipo akalazimika kuwaambia wateja wakatumie ATM ya Standard Chartered ambayo wakati huo Waziri Ngeleja alikuwa anaitumia na huku akizungumza na simu,รข€ alisema shuhuda mmoja ambaye hakutaka jina lake liandikwe.
Shuhuda huyo alisema baada ya Mnaku kumtaka waziri kuwapisha wengine, ghafla na huku akiwa na hasira, Waziri Ngeleja alisema: "Ina maana hunijui mimi, hujui nafasi yangu, halafu...tusi," alisema shuhuda huyo.
Shuhuda huyo aliongeza: "Kutokana na maneno hayo, Mnaku akamjibu kwa kujitetea kwamba, mimi nimekuomba uwapishe wateja wengine, sikuwa na lingine".
Habari zaidi zinadai kwamba, katika kikao na waajiri wa Mnaku, Ngeleja alisema: "Siwezi kumsamehe (Mnaku) mpaka atakapopewe adhabu kali."
Ankal, ukiachilia mbali matukio ya kumbukumbu za kuzaliwa na vifo, tunahitaji kupata matukio mapya katika blog yetu hii kutoka kwa wadau wanaochangia. tukio hili lilitokea wiki 3 zilizopita nami nilikuwa mmoja wa wasafiri siku hiyo kutoka arusha to babati. mdau akisoma na kuangalia picha hii ataona babati au manyara hakuendeki. chonde chonde wadau mnaochangia hizi picha za matukio ya zmani ziacheni hukohuko kwenye libeneke zenu.
ReplyDeletesafety awareness ni tatizo kwetu Tanzania. hapo waliposimama washangaaji au sijui tuseme washangiliaji wa mafuriko ni hatari. Kwanini hakuna common sense?
ReplyDeleteunaona ujinga wa watanzania? sasa wanashangaa kwenye udongo ambao uko standby kubomoka..
ReplyDeletembona kumekucha? uk baridi hawajawahi kuiona, south america na congo volcano zilikua zimelala zaidi ya miaka mia sasa zimeamka, mara mafuriko ndio hayo, florida baridi mpaka iguana wanaanguka frozen kutoka kwa miti...mmhhh ni global warming au ni global reset?
ReplyDelete