mahijab ya nguvu toka dubai
vitambaa vya kila aina kwa kinamama
ma-goldi orijino kibao
ushindwe wewe tu na hela yako
goldi orijino toka afrika

mali mpya imengia
1401 university blvd MD
kwa ajili ya mwaka mpya na mambo mapya,
Wateja wetu wa nje ya mji watatumiwa kama kawaida.
New Hijabs,
Abayas,
real gold sets,
bangles,
earings,
necklaces.
ets 28-32 dollars per gram 22 caret gold.
For more info Wasiliana na Buhite Aljabry
Email
Phone no 301 446 7795
Au
Leyla Omar
Email
phone no 301 312 1475

Ahsanteni na karibuni sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hii komesha sasa!haya tutakuja kununua lakini tunasikia hakopeshi sasa si itakuwa ngumu.

    ReplyDelete
  2. ndiyo mamaa usiwakopeshe kabisa wabongo nuksi sana kwenye kulipa hadi mnagombana kazi yao kulostisha wenzao tuu mbona mkiwa majuu hamkopeshagi mall?? no mkopooo kuja na cash huna kaa kimya
    manka wa canada

    ReplyDelete
  3. Asante kwa taarifa na vitu ni vizuri....sasa hilo duka liko kariakoo mtaa upi?...mana kariakoo ni kubwa sana.......msaada tafadhali

    ReplyDelete
  4. shost hapo juu hilo duka halipo bongo ni kwa wadau walioko ughaibuni

    ReplyDelete
  5. Duuh hapo msipoangalia mtajikuta mnauziwa mpaka ma jini.

    Mdau

    ReplyDelete
  6. pesa tunazo tutakuja na cash hamna mtu anahitaji mkopo.

    ReplyDelete
  7. hizo no zote hazipatikani ..ni za kweli au..atu tunataka kujinafasi plz washeni simu zenu..mdau atl

    ReplyDelete
  8. Jamanai hizo namba ni feki nini mbona napiga hakieleweki au ndio wale wale tuma namba ya C- card then kwisha mnaishia zenu maana bora muweke website basi angalau tujionee kwa mapana.

    Mdau Mau Mau
    US

    ReplyDelete
  9. acheni umbea wenu roho mbaya tu mpigieni buhite no yake au mnamuogopa kwa kuwa hawakopeshi mimi nimempigia nikaacha msg akanirudishia na kunielekeza walipo nikaona vitu vizuri na vingi mpaka nimepata kichaa.Wawesti kibao wananunu sema nyie wabongo niksi sana sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...