mahijab ya nguvu toka dubai
ma-goldi orijino kibao
ushindwe wewe tu na hela yako mali mpya imengia
1401 university blvd MD
1401 university blvd MD
kwa ajili ya mwaka mpya na mambo mapya,
Wateja wetu wa nje ya mji watatumiwa kama kawaida.
Wateja wetu wa nje ya mji watatumiwa kama kawaida.
New Hijabs,
Abayas,
real gold sets,
bangles,
earings,
necklaces.
ets 28-32 dollars per gram 22 caret gold.
For more info Wasiliana na Buhite Aljabry
Email
Phone no 301 446 7795
Au
Leyla Omar
Email
phone no 301 312 1475
Ahsanteni na karibuni sana.



hii komesha sasa!haya tutakuja kununua lakini tunasikia hakopeshi sasa si itakuwa ngumu.
ReplyDeletendiyo mamaa usiwakopeshe kabisa wabongo nuksi sana kwenye kulipa hadi mnagombana kazi yao kulostisha wenzao tuu mbona mkiwa majuu hamkopeshagi mall?? no mkopooo kuja na cash huna kaa kimya
ReplyDeletemanka wa canada
Asante kwa taarifa na vitu ni vizuri....sasa hilo duka liko kariakoo mtaa upi?...mana kariakoo ni kubwa sana.......msaada tafadhali
ReplyDeleteshost hapo juu hilo duka halipo bongo ni kwa wadau walioko ughaibuni
ReplyDeleteDuuh hapo msipoangalia mtajikuta mnauziwa mpaka ma jini.
ReplyDeleteMdau
pesa tunazo tutakuja na cash hamna mtu anahitaji mkopo.
ReplyDeletehizo no zote hazipatikani ..ni za kweli au..atu tunataka kujinafasi plz washeni simu zenu..mdau atl
ReplyDeleteJamanai hizo namba ni feki nini mbona napiga hakieleweki au ndio wale wale tuma namba ya C- card then kwisha mnaishia zenu maana bora muweke website basi angalau tujionee kwa mapana.
ReplyDeleteMdau Mau Mau
US
acheni umbea wenu roho mbaya tu mpigieni buhite no yake au mnamuogopa kwa kuwa hawakopeshi mimi nimempigia nikaacha msg akanirudishia na kunielekeza walipo nikaona vitu vizuri na vingi mpaka nimepata kichaa.Wawesti kibao wananunu sema nyie wabongo niksi sana sana.
ReplyDelete