Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. ...usikufuru wewe, wapo wengi tulishawafunga...

    ReplyDelete
  2. Hhahahahahahhahha.......that's true!!

    ReplyDelete
  3. Ametumia haki yake ya kuwa na maoni. Nami kwa haki yangu ya kutoa maoni naona ni bora vikatuni vya kipanya.

    ReplyDelete
  4. Teh eth teh teh teh !!kazi kweli kweli!!!jamani mie sina mbavu....

    ReplyDelete
  5. Huyu jamaa ni mwongo sana mbona tumewafunga Burkina Faso hapa nyumbani na kwao, Ivory coast wenyewe tuliwafunga kwao wakati wa CHAN, TAfakari kabla ya kuchora....

    ReplyDelete
  6. .....we never beat anyone sio kweli, unakuwaga wapi??? au wewe huwa unaangalia zile tunazobitiwa tu?...
    Katuni pamoja na kutoa maoni pia haitakiwi kupotosha....................Huu ni uongo!
    Kipanya upo wapi baba?

    ReplyDelete
  7. haahaaahaa smart kid....

    ReplyDelete
  8. Good one...
    Ahahahaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. hilo ndo tatizo letu kisifia atujui. Ila kuponda!

    ReplyDelete
  10. sio yenu iyo ni ya wakenya, mumeiiba!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...