BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA MH. MWANAIDI. S. MAAJAR AKIWA NA BALOZI WA KENYA MH. EPHRAIM WAWERU NGARE KWENYE PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUWEKA SAHIHI DAFTARI LA MAOMBOLEZI UBALOZINI HAPO.

WADAU TINA GEORGE NA FLORA BAHATI LYMO, BAADA YA KUWEKA SAHIHI KWENYE DAFTARI LA MAOMBOLEZI KWENYE OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA JIJINI LONDON.

UBALOZI WA TANZANIA LONDON, UNAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA WATU WOTE WAOLIFIKA UBALOZINI HAPO KUWEKA SAHIHI KWENYE DAFTARI LA MAOMBOLEZO.
UBALOZI PIA UNAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA NA MARAFIKI WA TANZANIA KWAMBA, ZOEZI HILO LITAENDELEA MPAKA TAREHE 15/01/2010. WATANZANIA WOTE NA MARAFIKI WA TANZANIA WENYE NIA YA KUJIANDIKISHA WAMEOMBWA WAFIKE UBALOZINI HAPO KUANZIA SAA 09.00AM MPAKA SAA 16.30PM.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Misupu, Kiswahili fasaha ni "kuweka/kutia saini" na si "kuweka/kutia sahihi". sahihi ni sawa sawa/sawia kwa kinyasa correct wakati saini ni signature.

    Mdau chiggs, deslam

    ReplyDelete
  2. jamani eeeh
    kweli kufa kufaana
    naomba wadau muangalie kwa makini hizo picha za waombolezaji na mkao wake
    Maoni kaeninayo mioyoni mwenu ila ya kwangu nahisi tuna kazi sana na kujitambua kwetu watanzania kokote tuliko.
    dau jingine la deslam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...