

UBALOZI WA TANZANIA LONDON, UNAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA WATU WOTE WAOLIFIKA UBALOZINI HAPO KUWEKA SAHIHI KWENYE DAFTARI LA MAOMBOLEZO.
UBALOZI PIA UNAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA NA MARAFIKI WA TANZANIA KWAMBA, ZOEZI HILO LITAENDELEA MPAKA TAREHE 15/01/2010. WATANZANIA WOTE NA MARAFIKI WA TANZANIA WENYE NIA YA KUJIANDIKISHA WAMEOMBWA WAFIKE UBALOZINI HAPO KUANZIA SAA 09.00AM MPAKA SAA 16.30PM.
Misupu, Kiswahili fasaha ni "kuweka/kutia saini" na si "kuweka/kutia sahihi". sahihi ni sawa sawa/sawia kwa kinyasa correct wakati saini ni signature.
ReplyDeleteMdau chiggs, deslam
jamani eeeh
ReplyDeletekweli kufa kufaana
naomba wadau muangalie kwa makini hizo picha za waombolezaji na mkao wake
Maoni kaeninayo mioyoni mwenu ila ya kwangu nahisi tuna kazi sana na kujitambua kwetu watanzania kokote tuliko.
dau jingine la deslam