Home
Unlabelled
mengi aandaa dina la mchana kwa walemavu dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
well done Mr.Mengi tunatumaini watu wengine wenye uwezo wataiga mfano huu
ReplyDeleteVery well done bwana mengi hata mungu anakuzidishia mara dufu kwa hilo tu! maana kuna watu umewavusha maisha kwa siku hii ya leo kwa tukio hilo. maoni yangu next year fanya sehemu nyingine ikiwezekana vijijini waliko uliwa maalbino. Watu wale chakula na dua kwa madhehebu yoote na tumbuizo za ngoma za kienyeji na pengine toka kwa walemavu wenyewe.
ReplyDeleteAnafanya jambo jema sana, ni mfano mzuri wa kuigwa! Keep it up Mengi huo ni uungwana na Mungu atakujaalia!!
ReplyDeletemfano wa kuigwa
ReplyDeleteUNAFIKI KWA MUNGU. Juzi amewafukuza wafanyakazi watzanzania zaidi ya 100 kutoka IPPMEDIA bila hatia yoyote, halafu leo anatupiga changa la macho na lunch ya walemavu, nadhani ndiyo maana JK alishtukia akaingia mtini. Aibu kubwa.
ReplyDeletekip it up mr.Mengi mfano wa kuigwa hata kama we fisadi lakini fisadi unaekula na wenzio, ua great.
ReplyDeletehata kama amefukuza watu yupo kazini watz hatupo makini kazini, usihisishe mambo ya kzi na msaada,hata Mungu anajua kila mtu atamhukumu vipi, we subiri hukumu yako usiangalie ya mwenzio.
safi sana bwana mengi mungu akuzidishie
ReplyDeleteMUNGU akubariki Ndugu yetu ,Mzee wetu Mengi endelea na moyo wa upendo kama huo,achana na kelele za MAFISADI ,tunajua mchango wako kwetu sisi watanzania ,wewe ni MZALENDO HALISI,tunakuahidi mzee wetu kuwa TUNAKUPENDA na tunakuthamini kwa kila unachokinya,kutoa kwako si kwamba unacho kingi sana !la hasha! ni UPENDO uliokuwa nao kwetu
ReplyDeleteMUNGU AKUBARIKI WEWE,FAMILIA YAKO NA SHUNGHULI ZAKO ZOTE ZA KILA SIKU
anony mon jan 18, 01:10:00 PM. hao waliofukuzwa kama wamekosewa kuna mahakama acha ku-judge ile ni kampuni binafsi na kama wameshindwa kufikisha malengo ana haki ya kuwatimua akaajiri wengine! Ndo maana unaona The Guardian leo hii imefikisha miaka 15! Ni kwa ajili ya kuzingatia hilo tuacheni siasa makazini tujifunze kutonyea mikono inayopeleka tonge tumboni! Keep it up Bwana Mengi! Wema hauwezi kuonekana leo hisoria itakuhukumu!
ReplyDelete