Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Muhammed Seif Khatib akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa mradi wa Barabara, pia ni Mwanachama wa Boti ya Mradi wa Uvuvi Bw Amour Amadi wakati wa ziara ya kutembelea Miradi ya TASAF Huko Dimani wilaya ya Mjini Magharibi Unguja leo. Picha na mdau Ali Meja
Home
Unlabelled
mh. khatibu katika ziara yake kukagua miradi visiwani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...