Mlinzi wa timu ya Mtimbwa Sugar, Chacha Marwa (kulia) akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Manyema Rangers, Ally Mohamed wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jiji Dar leo. Mtibwa ilishinda 5-2. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wapendwa wadau wa glob yetu ya jamii naomba kufahamu Manyema rangers inatokea mkoa gani?

    ReplyDelete
  2. Inatokea Mkoa wa Ilala!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...