Home
Unlabelled
mh. pinda ziarani kilosa kutoa pole kwa waathirika wa mafuriko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mheshimiwa Nanihi, nashangaa kuona viongozi waendao kutembelea sehemu ya nafuriko Kilosa wanatanguliza kwanza kuandaliwa sehemu ya kukaa kwa starehe wakati waadhirika wanalala chini kwenye matope na mvua hii. Bado tuko mbali sana kwani kutembelea sehemu kama hiyo kwa viongozi ni shauri ya ratiba. Nilishuhudia Bush alipotembelea waadhirika huko Luisiana kasimama na kutembelea bila kuandaliwa viti na meza zilizotandikwa vitambaa.
ReplyDeleteNimeshuhudia wakubwa wanaposhiriki kupanda miti wanavaa suti na tai wakati wanaenda mashambani wanakotakiwa kushiriki kwa vitendo. Halafu wanatandikiwa mkeka au karatasi wasichafuke.
Mbona bushi alipoenda kuwaona masai kule Arusha alivaa jinsi hapo wakubwa mpo?????????????
I like the simplicity of the scene in pic 1, good guys!!
ReplyDeletePoleni wana Kilosa.
hivi kaka michuzi nikiwaandikia barua hawa refugees wataipataje hapo mimi mdau ninaishi reading london uk.
ReplyDeleteKAMA ITIFAKI(PROTOCAL ILIVYO ) IMEENDA SAHIHI KABISA AMEBAKIA RAISI TU KWENDA KUTOA POLE. WALE WAVIZIAJI WA KISIASA (POLITICAL SNIPERS) WALIOLALAMIKA KWANINI RAIS HAJAENDA HUKU KWANZA HII NDIO THIBITISHO LA ITIFAKI.
ReplyDeletewewe candida huna hoja mnyonge myongeni haki yake mpeni hawa viongozi wamejitahidi vya kutosha kuwapatia hifadhi na huduma za dawa, ukianagalia hata hiyo sehemu walipo ni kambi ya waathirika na sio jumba la mikutano.., wewe ulitaka waandaliwe mkeka? wakati mazungumzo yalizidi masaa mawili? umeshasema bush marecani ,sio tz . mlosa wa kweli ugaibuni
ReplyDeletemzee pinda kwa kweli unanigusa kwa ukarimu wako ukigombea uraisi bila kupinga kura yangu nitakupa unajali Mungu hakubariki,poleni watu wa kilosa hata sisi huku UK tunafunikwa na barafu mhhh tunatani kweli nyumbani tanzania tambarare
ReplyDeleteSASA INJINIA/KATIBU MKUU HUKO KWENYE MAAFA UNAGONGA SUTI YA NINI???
ReplyDelete