Ankal Michuzi,
Mimi ni mdau wa blog yako jamii Marekani. Naomba msaada kwenye tuta... Namuulizia ALEX KAJUMULO, yule aliyekuwa akija bongo na misaada ya jezi, na baadae akanunua klabu ya soka ya sigara. Yuko wapi?? Mwenye habari naomba anisaidie maana tunahitaji watu kama yeye wenye moyo wa kuendeleza soka.
Asante sana.
Mdau Marekani.
Mdau Marekani.


KAMA SIKOSEI INAISHI JIMBO LA WASHINGTON KATIKA CAPITAL YAKE YA SEATTLE.
ReplyDeleteYUKO WASHINGTON, SEATTLE, ANAPIGA MUSIC SIKU HIZI, WEWE M-GOOGLE TU UTAMPATA, HATA KWENYE MYFACE NA FACEBOOK YUPO GOOGLE TU
ReplyDeleteAha, juzi tu katika mazungumzo ya akademi za mpira hapa nyumbani tunaongea na rafiki yangu mmoja akaniuliza suala hilo hilo. Nafikiri kweli tunahitaji siyo tu Kajumulo kamoja bali vijumulo kadhaa vyenye moyo wa namna hiyo. Mjukuu wangu anayefanya kazi UNICEF nchini Senegali ananiambia Wajumulo wa huko wengi wanaishi Ufaransa na wanakuwa wanakuja kila mara kutembelea na kuona maendeleo ya akademi zao.
ReplyDeleteItakusaidia nini ukijua alipo?Acha habari za kujua mambo ya watu changamka na maisha yako mwanangu.
ReplyDeleteMIMI KAJUMULO NI BABA YANGU MKUBWA NI KWELI ANAISHI HAPA SEATTLE LAKINI SI KWELI KWAMBA ANAJISHUGHULISHA NA MUZIKI AMA MUPIRA. YEYE NI MFANYAKAZI WA KAWAIDA HAPA SEATTLE NA JIONI ANAPENDA KUCHEZA MUPIRA PALE PARK. ANAFANYA KAZI THE BRUFF RETIREMENT COMMUNITY LIVING NA PART TIME ANAFANYA WAL-MART USIKU KAMA STOCKING YAANI KUPANGA VYAKULA KWENYE SHELVES NYAKATI ZA USIKU. KAJUMULO NI MUTU MUPOLE NA MWENYE MAJIVUNO NA MPENDA KAZI YAKE NI HODARI SANA TU.
ReplyDeleteWewe Mujuni Kajumulo,hongera sana kwa kutufahamisha kuwa baba yako mkubwa Alex Kajumulo,kuwa anabeba box washington bora kubeba box kuliko kujiingiza ktk deal zisizo na maendeleo
ReplyDeleteHabari ya Kajumulo muulizeni Jamhuri Kihwelo manake wakati huo ilikuwa ukimsogelea Kajumulo tu, Jamhuri anakuzuia na kipepsi. Baada ya Kajumulo wakazaliwa wengine hadi alipoibuka Jack Pemba na kuleta mastaa watu wa England Premier League toka Uingereza. Huyu nae Jamhuri akamdaka juu juu hadi alipoingia kizani.
ReplyDeleteISIWE TABU BURE, HIS CONTACTS ARE:
ReplyDeleteAlex Kajumulo
206-501-9778
alex@babukaju.com
Nani anabisha kuwa kajumulo anapiga muziki pia nenda You Tube andika jina lake utapata nyimbo zake, ni sawa anaweza kuwa anambanga vyakula usiku WALL MART SUPERMARKET lakini pia anapiga musiki, TENA PIA ANA WEBSITE YAKE NYI GOOGLE TU MTAMPATA
ReplyDelete"Alex Kajumulo
ReplyDeleteI was born and raised in the bush of Tanzania, Africa. I moved to the city, Dar es Salaam, when I was 13 and started playing professional soccer at 15. I played Soccer all over the world: Tanzania, Djibouti, Yemen, Saudi Arabia, France, Holland, Japan, and the United States. After retiring from playing soccer, I ended up in Seattle, Washington. Here I coach a Youth Select Soccer Team and design, manufacture, and sell soccer uniforms and gear to teams and individuals around the world.
I have always played music since I was a kid, because when you are a bush man, you have to sing and play beats to yourself to keep entertained. In the bush when I was a kid I had no radio or TV. All my life I have been making music in my head.
In 1999, I had the chance to produce an album for "Cool James" Dandu. Also known as Mtoto wa Dandu. The Album was called "CJ Massive: African Most Wanted" and was a big hit in East Africa and in African communities around the world. Sadly, Cool James was killed in a car crash in Dar es Salaam, Tanzania. Myself and all Tanzanians miss his musical talent. But he inspired me to continue to create music.
This year I have begun putting together my own album. I am going to call this album "Never Before" because it’s a new style of music never heard before."
Mujuni
ReplyDeleteSina hakika na jibu lako. Waonesha kuiga lafidhi, wajibu kisichoulizwa na wajichanganya kwenye jibu lako.
Ila twajua wajibuo hivi wana ajenda zao "nyuma ya pazia"
Mzee wa Changamoto nakuuunga mkono kama si mdomo, huyu anayejiita MUJUNI KAJUMULO nadhani analazimisha ukoo wa kajumulo umtambue lakini si wao kwani hadith zake haziingii akilini kabisa bora aache kutia mikono yake kama watu wanauliza swali ili wapate kusaidiwa kujua kitu.
ReplyDeletePili ni huyu ANONYMOUS wa 4 jamaa aliyemtoa nishai jamaa kwa kutaka kujua Mtanzania mwenzetu sasa hivi yuko wapi naye hakuwa mstaarabu katika jibu lake kama hakuwa na msaada angekaa kimya angesoma habari angeona hana jibu aachane nayo si bora una net mahari basi kila kitu lazima ujibu si vyema kufanya hivyo.
Mwisho ndugu yangu uliyeuliza siku nyingine kama unataka kujua habari za watu hawa ambao wameshawahi kujizolea umaarufu japo kidogo jaribu ku-google au ingia kwenye face book kwanza ukikosa ndiyo jirushe humu manake SI KILA BINADAMU NI MTU.
jamani niume m google kweli Alex Kajumulo ni kweli youtube huna mpata anaimba kwaya .
ReplyDeleteHello everybody. My name is Alex Kajumulo. I am a recording artist and producer. I have a record label called Babukaju Records and have so far produced five albums. Never Before, Justice for Mankind, Searching for Love, I'm Kool Like That, and Bushman Vision. Never Before has been playing all over the world. One of my songs, Maza Africa, was a finalist in the 2007 International Songwriting Competition. Other songs in the Never Before album have so far been licensed by several organizations. I think it is very important to collaborate with musicians from all across the world in making my songs. I have worked with DubPHixS from Belgium/the Philippines, Selassie I. Soldier from U.S./Jamaica, H-Bomb U.S./Democratic Republic of the Congo, Lace Cadence from U.S.A., Emotionz from Argentina/Canada, Lauren Barnes Seattle,U.S., Ruby from U.S./Japan, Jochim from Lake Stevens, WA, Fela from Central African Republic, DJ B-Mello from Seattle, Maurice Jones Jr. from Seattle/Canada, one of the very best bass players I know, and many others. I have a deep appreciation for their contributions. My music is available both digitally and in hard copies in pretty much any music store. Listen to the message and call your local radio station if you would like to hear more!
ReplyDeletepeople u have to watch this .huyu ndo kajumulo jamani .kweli maisha fundisho.anaimba bongo flavour sasa
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=UBil92un1EY
Hebu sikiliza nyimbo zake hapa:
ReplyDeletehttp://www.alexkajumulo.com/