Michu naomba wadau wanipe adivaisi
Mimi ni mume mwenye ndoa mmoja. Kazini kulikuwa na mdada ( mmbongo) nasemezana naye ambaye uvutio wake uko vizuri sanaaa .. yaani kama ni back up plan inkesi mke wangu akiniacha, hapa ningekuwa nimefika pia.
Mke (mzungu na hajui kiswahili) wangu hajafurahia huu urafiki wangu wa kishikaji na huyu binti. Amenilaumu kwa ninachiti na nimeshindwa kujieleza vyema ila naomba ushauri wa buree
1. What is cheating?
2. When is "cheating" cheating?
Is cheating when u are caught kwenye tendo lenyewe au hata kwa kuwaza tuu? Sasa kama sijafanya tendo lolote nje ya ndoa, kwanini mke wangu ananilazimisha kuwa ninacheat?
TGIF
Mimi ni mume mwenye ndoa mmoja. Kazini kulikuwa na mdada ( mmbongo) nasemezana naye ambaye uvutio wake uko vizuri sanaaa .. yaani kama ni back up plan inkesi mke wangu akiniacha, hapa ningekuwa nimefika pia.
Mke (mzungu na hajui kiswahili) wangu hajafurahia huu urafiki wangu wa kishikaji na huyu binti. Amenilaumu kwa ninachiti na nimeshindwa kujieleza vyema ila naomba ushauri wa buree
1. What is cheating?
2. When is "cheating" cheating?
Is cheating when u are caught kwenye tendo lenyewe au hata kwa kuwaza tuu? Sasa kama sijafanya tendo lolote nje ya ndoa, kwanini mke wangu ananilazimisha kuwa ninacheat?
TGIF
Nafikiri mke wako atakuwa sawa kusema kuwa unamcheat!! Kumbuka dhambi haianzi siku moja, ni kitu unachokiwaza hatimaye unafanya, hapa umesema anaweza kuwa backup plain yako incase mke wako atalikoroga, kama umeshamweka moyoni kiasi hicho unafikiri kimawazo haumdanganyi mke wako? think twice men ingekuwa ni wewe unafanyiwa hivyo ungejisikiaje?
ReplyDeleteNkya
a-town
Wewe kaka hata hauna aibu????? yani unatafuta kabisa plan B halafu unauliza kama umecheat?? kucheat umecheat wala usidhani haujacheat. Wewe ungefanyiwa hivyo ungejinsiaje??? Mke wako anasoma kwa kuangalia tuu kwani mtu mwenye hisia zaidi ya urafiki haihitaji kumkuta kitandani macho yanatosha kuonyesha kuwa unacheat mke wako sio kichaa anajua kinachoendelea. Kama umempenda huyo dada muache huyo mtoto wa watu oa huyo unaempenda ila namuonea sana huruma huyo binti wa kibongo kwani akiwa na wewe she is next. Yani wanaume wengine mnasikitisha sana wewe dawa yako upate macho juu mwezio ndio utajua kucheat manake nn.
ReplyDeletewewe acha upuuzi wako unazani hii ni blog ya the utamu nini. wewe mtu mzima unashindwa kujieshimu.kama una wife then unataka kutanga tanga nini ujarithika hina maana.a cha kuchezewa shilingi chooni .Siajabu uyo wife mzungu ndo anayekuweka mjini.Mijitu kama nyiye ndo mnatunbania sisi tunao tafuta wazungu .Kwani sikuizi wasungu awaamini kabisa waafrica wanatuona wote wezi.
ReplyDeleteCRAZY??
ReplyDeleteYOU HAVE A BACKUP PLAN FOR YOUR WIFE. THIS DOESN'T SOUND GOOD TO ME, NO.
YOU ARE CHEATING!!
KUTAKA KUJUA MAANA YA NENO CHEATING SO AS TO EXCUSE YOURSELF OR WHAT??
Hivi wewe jamaa una umri gani? Mambo yako inaonekana ni ya kitoto sana. Kama ni urafiki wa kawaida tu mambo ya back up yanatoka wapi? Usituambie kuwa utakuja kuwa na mahusiano yake ukitimuliwa na huyo mzungu wako. Umeomba ushauri kwa kuandika pumba. Kua sasa ebol. Shwain
ReplyDeleteKaka kama wewe ni Mkristo naomba ukasome biblia yako vizuri. Kutamani imeandikwa ni tayari umeshatimiza hilo tendo. Kama wengine walivyoandika hapo juu, kwa kweli umepotea. Hili hukutakiwa kuliuliza.
ReplyDeletekijana, nakushauri umtafute jamaa mmoja anayeitwa humphrey aliyemuoa mzungu, atakupa msaada zaidi... jamaa anapatikana maeneo ya mikocheni!
ReplyDeleteKama mke wako mzungu basi hujachiti wala kamanda, endelea kujipendelea na plan B yako.
ReplyDeleteIla kama mke wako angekuwa m-bantu ningekushauri ukausikilize wimbo wa mwanameka.
Mimi pia mke wangu mzungu lakini kuna kidemu cha ki-mozambique nakifukuzia. Nikimtia mkononi huyu m-mozambique tuu basi, mzungu atakuwa ni historia.
aaaah bwana kweli hicho kitu sio kizuri kabisa ila sa kama mpaka wife mwenyewe anasema kwamba its cheating mi naona ufanye kweli bwana kwanini uinyime roho yako kitu inataka.halafu kuna watu wanacomments utafikiri wao ni wachungaji kumbe wao ndo doh watakuwa wanaongoza kwa kuwa na nyumba ndogo
ReplyDeleteUSAHURI WA BURE :kwa wanandowa na wazungu , ndowa haina rangi katika miaka 30 niliyokaa hapa ulaya nimeyaona sana hao aliyoandika huyu ndugu (PLAN A & B)
ReplyDeletekwanza hawa watu wote wanaofanya huu uchafu wanatoka kwenye umasikini na wanataka kuwatumia njia ya ndowa kubadilisha maisha yao kuondokana na umasikini wao ili waishi ulaya. inaonesha dhahiri humpendi mkeo mzungu , kwanini humwachi ,no huwezi kumwacha kwavile utarudishwa kwetu huko bongo ukaishi kwenye choo cha passport size .KUMBUKA (WHAT GOES AROUD COMES AROUND )wanaume wengi walifikiria hivi .na wakafanyia wazungu pale walipofanya plan B na kuowa wanawake wa bongo , cha kushangaza na mwanamke wa bongo alipokatishwa waya tuu alimwacha aliyemleta huku ulaya naye akamleta nayempeda . kumbuka mola hana ubaguzi unamfayia ni binaadamu na sio mzungu,na kuna wale kinadada zetu waliopo huku ninaowajuwa wengi waliletwa na wazungu hivi sasa wote wamewakibia na asilimia 30% ninavowaona mimi ni alcoholic hawana maisha .ushauri uwe na upendo kwa mtu anayekupa maisha na ukiona huyawezi vumilia maisha hayo hadi umalize libeneke lako hili na ndio uanze jipya , hilo la kuwa na nyumba mbili utafanya mmoja aharibikiwe tuu .
BE PROUD WHO YOU ARE NOT WHAT U CAN GET!!!!
KARIBU BAGAMOYO
i think what ur doing is a cheat!!! if u reckon that you dont love your wife no more just let her know do not waste her time cause you dont know may be sonmeone is somewhere fancy her as well!! wanaume you are so bad especially wabongo!!! always end up make women cry... u better sit down and think twicw before you close that door..!!! is the girl you fancy worth to be with!! au na yeye atakuja kukuliza??? but if you really love her go for her do not cheat!! is not healthy to force yourself to be in a relationship while you are not happy. my advice is, dont think anyone can advice you! you are the one need to decide for yourself, no one is in that situation you are in!!!...... go with your instinct, dont listen to anyone chose what is best for you and you are happy with!!!
ReplyDeletekaka nanii,,, please usituletea maada kama hizi kwenye blog hii kwani maada kama hizi zinatutapisha wadau wengi, hazina maana yoyote na zinaleta kero hata kuzisikia. blog hii kwa watu tuliopo nje ya nchi inatusaidia sana kupata updates za nyumbani, sasa ukichanganya na mambo ya wahuni itapunguza sana umaarufu kwa blog hii tuipendayo na kuisamini. its just no sense mtu ana mke halafu anakuwa na back up plan ya nyumba ndogo, halafu mbaya zaidi anaomba ushauri kwetu... tumshauri nini sasa??? Tafadhali sana mzee wa ankara maada kama hizi zisipewe nafasi kamwe, wazipeleke kwenye ze utamu
ReplyDeleteregards,
mdau-holland
KIJANA SISI WAKONGWE TULIOANZA NA WAZUNGU ATA KABLA HUJA JALIWA KUJA HUKU KWA TABIA YA MZUNGU ANAKUSOMA NAE ANAPLANI B FROM THE DAY ONE,SIKU ATAKAYO KUMWA HUTOAMINI NA UTASHANGAA NA HUWA AWARUDI,WANAWAKE WOTE WA KIZUNGU WALIO OLEWA NA WAFRIKA WANAMAPENZI NA WA AFRIKA NAWEWE SIO WA KWANZA HIVYO AKIKUMWAGA ATARUDI PALEPALE ALIPO KUSHUKUA ATACHUKUA MTU MWINGINE.MAMBO YA MSINGI JIULIZE KARATASI ZIMESHA KAASAWA KAMA ZIKO SAWA MKOBA UMESHAVUTA KAMA BADO TULIA NDUGU YANGU,NA KAMA MABO YAKO YOTE YAKO SAWA NA UNAISHI NA MAPENZI YA KWELI NA MKEO BASI ACHA MARA MOJA HIYO TABIA UTMLETEA MARADHI UKIMWI UJAA TELE HUKU MAJUU NA AFRIKA AWASEMI KAMA WAGONJWA UKIZIGATIA WANA TOP UP.UTAKUFAAAAAAAAA.
ReplyDeletebadili dini we islam alafu umwoe huyo wa pili, lakini usishangae huyo wa kwanza kuondoka kwa kushindwa kuvumilia
ReplyDeleteMi naona kwa ushauri wangu kaka angu hii mada iingize katika web ya www.harusiyangu.com huko ndio utapata ushauri mzuri kbsaa na ile iko kwa ajiri ya wanandoa na mambo ya ushauri kama haya lkn hapa si sehemu ya mambo kama haya.
ReplyDeletemeggie
chagua bega mimi mkeo au mswahili! maana kama unanipenda ya nini kuniumiza roho, kwani hakuna marafiki wengine? huyu 'rafiki' yako machale yananicheza!
ReplyDeleteMkeo
Mzungu
Kwa sisi waswahili hata huo msamiati hatuna - ndio maana sijaona mtoa maoni aliyeweza kutumia neno la Kiswahili. ku-cheat ni utamaduni wa wenye lugha hiyo!!! Katika mtazamo wa waswahili unacofanya ni sahihi kabisa. kwa mtazamo wa wenye lugha, siwezi kusema maana sijui utamaduni wao.
ReplyDeleteSee this?? This is what I was talking about kwenye ile post ya Pemba eti wanandoa tu ndio wanaruhusiwa kuingia kwenye hotel pamoja. Implying that only marriage can prevent the spread of AIDS. This is proof that marriage does not prevent the spread of AIDS. You need to change the way people think and behave, and a marriage certificate is not going to prevent someone from having sex with anyone else.
ReplyDeleteAnd to answer your question, YES, it is cheating. It's emotional cheating and it's going to get physical cheating soon since she's your PlAN B.I hope your wife catches you and takes half of your property when she divorces you AND gets your papers taken away. SWINE!
Bora kuheshimu mbuzi coz utakuja kula nyama yake, mtu mzima kabisa unauliza what is cheating na wakati huo huo unasema yule binti mwingine ni plan B, wtf** that is so childish man. Umeshasema ni plan B na kama haitoshi ni back up!!! dah yani nimepata hasira ghafla wacha niishie hapa coz nitatukana na ankal ashindwe post comment yangu. Acha ujingwa bwa mdogo huo sio ujanja ni upuuzi unafanya na utaruka mikojo ukanyage mavi!! sssssssssssssssh**
ReplyDeleteMdau ktk libeneke-UK
Mzee mimi naona uendelee tu na plan B kwani inaonekana huumpendi wife na kama ndiyo hivyo sidhani kama hiyo ndoa itakaa muda mrefu anyway.
ReplyDeleteNi bora tu umuambie kuwa ndio mwisho wa lami na kila mtu achukue time yake na wewe ukajipumzishe na kigoli.
Wengi wana oa wazungu kwa benefit nyingi lakini sio kwa kuwa wanapendana.Mimi na wife wangu tulikuwa tunapendana tokea primary school,nime cheat mara kadhaa lakini tukopamoja bado,hayo ndio mapenzi..umenisikia? ebo..!
Cheating ni pale unapofanya kitu ambacho huwezi kumwambia mwenza wako umekifanya.
ReplyDeleteHuna hata aibu. Acha kutupotezea muda hapa. Hata wewe mwenyewe roho inakusuta. Vinginevyo usingeuliza hili swali. Ndio nyie nyie mnaooa wazungu vibibi au machabunene wa kilo 300 ili mpate karatasi. Aibu tupu.
ReplyDeletekijana kwani huko ulaya hakuna Angaza?? mi nakushauri ni bora uende ukajiangaze kabla hujausambaza kwa mzungu wa watu.
ReplyDeletewhat u r doing is still cheating ,this is what they call EMOTIONAL CHEATING
ReplyDelete