Mambo vp mkuu wa wilaya ya nanihii?

kaka naomba unitangazie kwenye libeneke.
Nauza gari Toyota RAV4 GX ya mwaka 2002.

Mileage: 59000
Colour: Silver
Body Type: Station Wagon (5 Doors)
CC: 2000
Transmission: Automatic
Engine Type; VVTi
Fuel: Petrol
Duty Paid

Other specifications including CD Player, Sunroof, Alarm, Airbag, Alloy wheels, etc. It is in excellent condition.

Kama mtu atahitaji kuiona anaweza kuwasiliana nami kwa simu namba

0732 202083
Bei ni kuanzia Tshs 22,000,000.

Makubaliano yanakaribishwa.

Hiyo picha ilipigwa UK few days kabla ya kusafirishwa kuja Dar.

Thank you,
Mdau Lusco.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. sasa wewe unataka kutuuzia buzi kwenye gunia .kwanini utuwekee picha ya UK si badala ungetuwekea current picha ya gari .Aibiwi mtu hapa.

    ReplyDelete
  2. Etc kwenye specifications haikubaliki. Exhaust all the specs. Nafahamu kuwa gari nyingi toka UK hazina Airconditioner (AC). Je hii specification imefichwa na etc...?

    ReplyDelete
  3. wewe Mdau unaulizia AC Unapesa ya mafuta? au basi tu! Mwache jamaa afanye Biashara.

    ReplyDelete
  4. mijitu mingine bwana, ndio nyinyi msiopenda maendeleo ya wenzenu, mtu anatafuta rizki yake, mtu mwenye haja ya kununua kitu atakwenda mwenyewe kuiona hiyo gari, na sio wewe unayeandika pumba humu, mara ac mara hivi, hujalazimishwa kuandika comment humu, mwacheni mwenzenu anatafuta riziki yake, na mungu atamjalia ataiuza, inshaallah, mijitu isiyopenda wenzao wafanikiwe utaijua tu, roho mbaya, mshaona mwenzenu atapata, kumbe hamjui mtu anaganga njaa. muwe wastaarabu jamani, na msikatishe wenzenu tamaa. mdau N. uk

    ReplyDelete
  5. hiyo gari imetembea karibu umbali wa kuzunguka africa unaanza kwa bei hiyo? mimi ntakupa $10m tu

    ReplyDelete
  6. Juzi Toyota, Honda, RAV4 zimetakiwa kurudishwa kwa wazalishaji kutokana na mushkeli ktk accelerator pad, je muungwana hii model haipo ktk re-called models? Mimi ni potential buyer naomba jibu.

    ReplyDelete
  7. Anon wa Sat Jan 30, 06:09:00 PM, hilo sio swali makini. Kama wewe ni mtu makini tafiti ni modeli zipi zimepigwa marufuku na uliza hiyo ni model gani kisha utapata jibu.

    Na mnaouliza maswali contacts za muuzaji si ni hizo hapo juu wasilianeni naye moja kwa moja.

    ReplyDelete
  8. huyo anayesema gari za UK hazina A/C ana akili kweli?? au tu na yeye anataka comment hata kama hana cha kucomment.

    ReplyDelete
  9. kama kuna mnunuzi wa kweli mpigie jamaa simu muulize atakupa details zote,sio kuweka comment za kukatisha tamaa,wewe unaetaka kujua gari zilizokuwa recalled ni za mwaka 2005 na kuendelea na ni models zifuatazo AYGO,IQ,YARIS, hio ya jamaa ni 02 model....kuhusu AC hizo ambazo hazina ac ni za zamani garinyingi latest zote zina ac(dual climate control)

    ReplyDelete
  10. 22 million for 2002 Rav4? mh!hiyo ni bei ya gari ya mwaka 2006 or 2007 siyo nzee hivyo

    ReplyDelete
  11. Wabongo Bwana! Jamaa nauza kitu kikali halafu mnaleta longolongo. Bei hiyo ni ya kawaida kwa gari kama hiyo. Mkitaka kujua machungu ya nchi hii agiza wewe gari kama hiyo halafu upitishie bandari ya bongo utajuta kuzaliwa. TRA wanatoza kodi kubwa utadhani wanakiwanda cha kutengeneza magari. Hawana ustaarabu kabisa hao jamaa sijui ni washamba au wamejawa na wivu tu kwamba watu wakiagiza magari basi wanatanua kumbe gari ni kurahisisha mawasiliano. Naamini muuzaji utapata mteja mzuri tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...