Home
Unlabelled
nyimbo ya injili made in tukuyu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
safi sana
ReplyDeleteDuh! Anko hii nimeipenda sana. Nilitamani kupata tafsiri tu, lakini kwa kweli home is best. Inapendeza sana kumuona hata bibi harusi nae kajitokeza uwanjani. Tujifunze na tuendeleze kutukuza kwetu, huu uzungu sio wetu.
ReplyDeleteKISWAHILI
ReplyDeleteJamani vijana wenzangu, tunazidi kuharibu Kiswahili. Hii tabia imeanza na viredio vinavyotangazwa na vicheki bobu na vicheki sista mjini, sasa imekuwa kila mtu. Sisi ni Watanzania, ndio wenye Kiswahili, tunapaswa kukilinda siyo kukiharibu.
Hakuna kitu kama:
"Nyimbo ya ..."
Tunatakiwa kusema "Wimbo wa ..." kwa umoja au "Nyimbo za ... " kwa wingi.
Hivi vilugha vya Kenya tusivipe nafasi, siyo sifa kuzungumza Kiswahili cha Kikenya, ni ujuha. Jitambueni Watanzania wenzangu.
Kila la heri.
Imetulia sana mambo yanyumbani haya,kweli sasa umuhimu wa nyimbo za zamani unaonekana.
ReplyDeletendaga fijo,yaani ninaupenda huu wimbo,ingawa kuimba nachapia kidogo
ReplyDeleteNaloli Nyumba ja Tata Ubujo bwingi linga Mwe Mkwijula.Ngaga Fijo Bana Kyala mtukumbwisye.
ReplyDeleteMdau Ugeruman.
The kinesics has reminded me of my School (LJS) old choirmasters Ilomo v/s Mwakosya!
ReplyDeleteANKAL ASANTE KWA WIMBO WIMBO UMENIKUMBUSHA MBALI:
ReplyDeleteKUNA WIMBO WA KINYAKYUSA UNAIMBWA HIVI.IKITANGALALA KUMWANYA KILI BO ULWELO LWA MMISI ULU BIKUSOPA MUNYANJA KIKULOBA SYOSA INSWE:
NATAFUTA KANDA AU DVD KAMA IPO:NA SIJUI NI KWAYA GANI WAMEIMBA:
MDAU NKA MAJOJAGANDUGUTU:
kaka mithupu Kyala akutulege, asante sana kwa kunipeleka nyumbani, nimesikiaaa rahaaa kinoma! nahisi hapo ni nkyimbila! kalumbu Mwasalwiba DC umeielewa hiyo nyimbo? Makao yapo nyumbani kwa baba(Mungu)lkn kwa wale wenye bidii ktk kumtafuta yeye.
ReplyDelete