Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. safi sana

    ReplyDelete
  2. Duh! Anko hii nimeipenda sana. Nilitamani kupata tafsiri tu, lakini kwa kweli home is best. Inapendeza sana kumuona hata bibi harusi nae kajitokeza uwanjani. Tujifunze na tuendeleze kutukuza kwetu, huu uzungu sio wetu.

    ReplyDelete
  3. KISWAHILI

    Jamani vijana wenzangu, tunazidi kuharibu Kiswahili. Hii tabia imeanza na viredio vinavyotangazwa na vicheki bobu na vicheki sista mjini, sasa imekuwa kila mtu. Sisi ni Watanzania, ndio wenye Kiswahili, tunapaswa kukilinda siyo kukiharibu.

    Hakuna kitu kama:
    "Nyimbo ya ..."

    Tunatakiwa kusema "Wimbo wa ..." kwa umoja au "Nyimbo za ... " kwa wingi.

    Hivi vilugha vya Kenya tusivipe nafasi, siyo sifa kuzungumza Kiswahili cha Kikenya, ni ujuha. Jitambueni Watanzania wenzangu.

    Kila la heri.

    ReplyDelete
  4. Imetulia sana mambo yanyumbani haya,kweli sasa umuhimu wa nyimbo za zamani unaonekana.

    ReplyDelete
  5. ndaga fijo,yaani ninaupenda huu wimbo,ingawa kuimba nachapia kidogo

    ReplyDelete
  6. Naloli Nyumba ja Tata Ubujo bwingi linga Mwe Mkwijula.Ngaga Fijo Bana Kyala mtukumbwisye.
    Mdau Ugeruman.

    ReplyDelete
  7. Chike Alias AneneJanuary 30, 2010

    The kinesics has reminded me of my School (LJS) old choirmasters Ilomo v/s Mwakosya!

    ReplyDelete
  8. ANKAL ASANTE KWA WIMBO WIMBO UMENIKUMBUSHA MBALI:
    KUNA WIMBO WA KINYAKYUSA UNAIMBWA HIVI.IKITANGALALA KUMWANYA KILI BO ULWELO LWA MMISI ULU BIKUSOPA MUNYANJA KIKULOBA SYOSA INSWE:
    NATAFUTA KANDA AU DVD KAMA IPO:NA SIJUI NI KWAYA GANI WAMEIMBA:

    MDAU NKA MAJOJAGANDUGUTU:

    ReplyDelete
  9. kaka mithupu Kyala akutulege, asante sana kwa kunipeleka nyumbani, nimesikiaaa rahaaa kinoma! nahisi hapo ni nkyimbila! kalumbu Mwasalwiba DC umeielewa hiyo nyimbo? Makao yapo nyumbani kwa baba(Mungu)lkn kwa wale wenye bidii ktk kumtafuta yeye.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...