Home
Unlabelled
Rais Zuma ameremeta kwa mara ya tatu, mke wa tano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
...interesting.
ReplyDeleteEE bwana huyo ni Zuma au????
ReplyDeleteMbona kama nimemuona pale msitu wa Turiani?
jAMAA ANAkula "BATA"
ReplyDeleteDu ! Hii ni kiboko !!!
ReplyDeleteWaafrika bwana, wenzetu wa Magharibi wanashindana kudesign jengo refu ulimwenguni, kurusha roketi mwezini, au wanakesha lab kuvumbua dawa za kutibu magonjwa hatari, mwafrika yeye anacheza ngoma kufurahia uroda wa mke wa tano. Afrika itaendelea kweli.
ReplyDeleteNilikua najiuliza kila siku hivi wazungu waliwezaje kutawala bondeni miaka yote hiyo bila kizuizi kutoka kwa weusi, sasa nimeelewa hawa wenzetu huko South Africa akili zao ziko kwingine kabisa,kwenye kuhesabu mke wa ngapi,kesho nilale kwa mke gani,mwakani nioe binti wa nani. Maendeleo ya nchi yanapangwa lini kiongozi yuko busy na kuoa wanawake na kuacha.
ReplyDeleteHuko South Africa kutaharibika sasa hivi, kama kipaumbele cha nchi ndio hivi, TUMEKWISHA, makaburu wamewaachia nchi nzuri, economy nzuri wataiharibu muda sio mrefu na kuendekeza haya mambo yao ya kienyeji.Zimbabwe ilikua nzuri sasa ona wako wapi sasa.
ReplyDeletethere we go again, yaani rais anaoa mke wa tano sijui wa ngapi!! haya ndo maendeleo ya mwanaume wa kiafrica
ReplyDeletesasa hapa ataconcentrate vp kwenye wake zake na serikali?? au ndo ameowaolea madreva wake????
Hogera Mr. president kwa kudumisha mila na dasturi za kiafrika. To hell westernised brain washed individuals
ReplyDeletekiongozi huyu hajatulia
ReplyDeleteMichuzi, huyu jamaa anafanya kazi saa ngapi??? hawo ndio vioungozi wetu wa kiafrika
ReplyDeletejama ankula ngoma kama sio raisi wa nchi..... shame
hivi tunakwenda mbele au tunarudi kulekule, lakini naamini gharama haikuwa kubwa siyo ya kifahari
ReplyDeleteHONGERA SANA MR. PRESIDENT KWA KUPATA JIKO.
ReplyDeleteAgain, "stupidly educated, western civilised brigade" washaanza na upumbavu wao. Kuna kosa gani kwa Zuma kuishi kizulu? Kila kitu cha kiafrika kibaya, cha ki-western kizuri. Je. angesherehekea birthday ya kuzaliwa mwaka wa 66, na kukata keki, na kupuliza mishumaa, kucheza bluuzi msingesema upumbavu wenu huo wa wenzetu wanzungu hivi, mara vile...;
ReplyDeleteChukueni taimu huko, heko kamanda Zuma kwa kuishi kizulu
; Wachina wanaishi kichina, wahindi wanaishi kihindi, wazungu wanaishi kizungu; lakini hawa stupidly educated hawataki mwafrika aishi kiafrika.
Na wewe uliyesema wenzenu wazungu wanagundua majengo marefu; haya, hapa JK na Mizengwe pinda wanakata keki za birthday kila siku kama wazungu; sasa jee hiyo imewasaidia na nyinyi kugundua hizo maabara zenu?
Ondoeni kasumba zenu hapa, wewe kama unajikataa endelea kujikataa lakini usilazimishe eti wote tujikatae.
Kila siku mpo bize kuishi kwa expectations za wazungu tuu...!
PUMBAF
Amandla.... Ngawethu
mtu mweusi na maendeleo wapi kwa wapi? sisi watu wa ngoma na chini hongera president ongeza mwingine ila chukua dogo dogo we mwenyewe mzee unachukua tena mzee ndo iweje...we vipi?
ReplyDeleteHONGERA MHE. ZUMA KWA KUDUMISHA MILA. ACHANA NA WALEVI WA KASUMBA YA MAGHARIBI. ONA WAO WA 'MKE MMOJA MUME MMOJA' WANASHIKWA UGONI KILA KUKICHA. SI UZUSHI, TUNAPEPERUSHIWA NA CNN!!!!!
ReplyDeleteHuyu Raisi kweli mtambo, utavunja mguu buree umri wenyewe umeshaenda hebu tulia 'bata' ingawa mtamu waachie vijana
ReplyDeleteduh! kuna pumbavu humu wanadhania maendeleo ya nchi yanaletwa na Rais
ReplyDeleteOhh 37 yrs old and 68 yrs old ...aghhhhrrrrrrr.....ohhh FOOL ME ONCE, SHAME ON YOU! FOOL ME TWICE, SHAME ON ME! 37 yrs old virgin????????? They gonna help him doing the JOB and the HIV/Aids knock knock knock ...mhhhhhhh
ReplyDeleteOkay watoto 19. Mke wa mmoja 67 yrs old (no children), mke wa mwingine 34 yrs old (3 children) married 2008, mke mwingine the Home Affairs Minister (4 kids) divorced in 1998, mwingine alijiua in 2000 (left 5 kids), the newly bride is not that new as the couple have 3 children together and he is engaged to at least one other woman.
ReplyDeleteUkimwi huu utatuua
Angalia michosho hii? ya miaka ya karne zilizopita bado tu wanaishikiria, utafikiri ya kwamba hawajui binadam ana mabadiriko, sasa huu utmaduni wa kuoa kila wakati si umeshapita na wakati, tena yeye kama kiongozi wa nchi!!!! kweli,africa bado, uncoverd.
ReplyDeleteMlikuwa mnamlaumu baba wa pili wa taifa (Mwinyi) sasa kwa Zuma mnashindwa kusema hata adumishe utamaduni wao.
ReplyDeleteIkija kwa utamaduni wa kibongo mko mbele kuutetea wakati mntahiri wasichana. Huu wa kizulu ndo utamaduni sio majungu.
Watu mnaleta mahubiri yenu ya mke mmoja ya kanisani kwenye mila za watu.
Mbona nchi yao imeendelea saana tu kuliko waswahili!
Hii ni moja ya utajiri mkubwa ambao sisi watu wa Africa tumejaliwa. There is no problem whatsoever ya kuwa na wake wa tano, hasa ukifuatia kwamba hizi mila zimekuwa zikidumishwa milele na milele, toka henzi za mababu zetu wa Kizulu na Kingoni. Namuungua mkono mchangiaji wa mada hapo juu aliyesema: "To hell the westernised brain washed individuals." Wengi wenye kupinga tamaduni hii, wanaringanisha na tamaduni za ulaya, Wazungu. Why do you have to use the decrepit western cultures as a mirror? Why????
ReplyDeleteAluta Continua...Hongera Raisi kwa kufanikiwa kufikisha nusu ya lengo ulilojiwekea la kuoa wanawake kumi.Afilika oyeee.......
ReplyDeleteMzee huyu ajatulia. watatu usawa wenyewe huu.HATARI.
ReplyDeleteMtu mzima namna hiyo halafu mambo yake ni hovyo kabisa.You can now see a real "villager".
ReplyDeleteMdau Dave
duniayetukubwa.blogspot.com
Ndugu hapo juu ni mtizamo wa wapi unaoeleza kuwa ukiwa raisi ni aibu kucheza ngoma kwa stail unayotaka?
ReplyDeleteSeriously, kama uzungu na maendeleo ni ndoa za jinsia moja let african men marry everyday.
ReplyDeleteNASISITIZA SIO UTAMADUNI BALI NI UMALAYA WA MTU
ReplyDeleteKAMA NI UTAMADUNI MBONA MANDELA HAKUOA OA HIVYO
KADHALIKA RAIS ALIYEPITA HAKUOA OA HIVYO
NI UMALAYA WA MTU BINAFSI
ZEE ZIMA LINAACHA KUFIKIRIA MZIGO WA TAIFA?
president hajatulia huyo, sasa kwa nini alitembea na binti wa rafiki yake tena bila kutumia condom kwa kisingizio kuwa alienda kunawa mara baada ya ku-do! kwa mtindo huo mr. president ataweza kweli kuhamasisha kuhusu kuzuia maambukizi ya ukimwi? AFRICA ZAIDI YA TUIJUAVYO
ReplyDeleteKwangu mimi naona kwa staili hii Africa tutabaki nyuma siku zote. kama Rais nategemea ana majukumu mengi sana na anahitaji muda wa kuyafanya kwa ajili ya kuendeleza watu wake. Lakini huyu mwenzetu kuoa imekuwa kama sera ya maendeleo ya nchi, huyu ni wa tano, nasikia anamchumba mwingine sijui ataoa lini. Sasa kazi ya kuongoza nchi ataifanya saa ngapi.
ReplyDeleteNalaani kitendo hiki na wala siyo sifa ni uzandiki tu.
tatizo lililopo afrika hasa Tz mtu akiweka mambo yake hazarani anaonekana ni mkosefu, mzinzi,muasherati saaana... ni marais wangapi afrika ambao mbele ya wengi wanaonekana wana mke mmoja? funua pazia uone jinsi ngozi ya kondoo ilivyoficha maovu ukiwakusanya vimada wa rais mmoja unaweza kujaza fuso na wengine kubaki... si maraisi tu bali hata viongozi wengine wa kisiasa,je ni mashehe,mapadri,wachungaji wangapi wamefumaniwa? na vyombo vya habari vinaripoti kila siku wakati wakiwa mbele ya madhabahu au misikiti ndio wakwanza kukemea na kuponda.
ReplyDeleteWamagharibi wana mambo yao na sisi waafrika tuna mambo yetu.
ReplyDeleteSisi tunacheza ngoma kwa sababu ni zakiasili kabisa na hatujaziiga kutoka kwa mtu yeyote. Mila za kizulu zinaruhusu mwamme rijali kuoa wanawake wengi kadri anavyoweza. Hii si sheria ya Zuma au Mandela, ni utaratibu wa tangu enzi na enzi za mababu zao. Kama mtu anaona kudumisha mila ni aibu basi afanye kama wanavyofanya wa magharibi kula denda hadharani, kuoana watu wa jinsi moja nk nk, mbona hayo hamyashangai?
huo ni upumbavu sana yaani jamaa anawaza ngono tu hao wanne hawamtoshi duh! ama kweli angekuwa Rais wetu tungeshampindua ningejitoa hata muhanga kuliko kuona Taifa linateketea kwa kuoa tuuuuuuuu.
ReplyDeletedu! Mungu umetupa viongozi
He is too local
ReplyDeleteKaka Michuzi na wadau wengine, namna hii Africa kuendele kwa juhudi zetu wenyewe hatuwezi katu. Yaani kiongozi kabsaa wa nchi ambaye watu wake kila kukicha wanatia tifu juu ya ajira yeye hawazi lolote wala kuumia juu ya hayo. Anawaza raha tu na uroda!!!
ReplyDeleteOna sasa waafrika tnavyobweteka, badala ya kujenga uchumi, na kuwaza jinsi gani kuimarisha uchumi, kiongozi anawaza kukamilisha kuvutia wanawake ndani ya nyumba!! Ni bahati tu kwa kuwa Makaburu walidumu mno Sauzi ndiyo maana angalau hali iko tambarare.
Mimi nafikiri haukuwa wakati mwafaka wa kuzidi kuongeza wake. hivi wadau mnijuze, je, wote wanaitwa first ladies, au kuna mmoja tu? Ni yupi sasa kati ya hao? Yupi anastahili kukaa jumba jeupe?
Tulizeni mizuka...Mzee endeleza mila acha waosha vinywa waendelee, mbona wazungu wanaoana wanaume kwa wanaume hawasemi kitu? Acheni hizo kila mtu na asili yake...mkasirike mcheke mila zipo pale pale...waswahili tunasema 'asiye na mila mtumwa' teh teh teh! Nkosi Sikelel' iAfrika
ReplyDeleteKWA KWELI AFADHALI YA ZUMA, YUKO WAZI.
ReplyDeleteYEYE NYUMBA NDOGO ANAZIHAMISHIA NYUMBANI NA ZINAKUWA ZINAELEWEKA.
WENZAKE WANAWEZA KUWA NA WANAWAKE WENGI ZAIDI KULIKO YEYE. WANAFICHA WAKIJIFANYA WAKO SAFI.
PESA UNAZO, UNAKULA UNASHIBA, KESHO HAIKUPI SHIDA, WHAT ELSE??
KWATUAAA!!!
NINGELIKUWA HUKO SAUZI, LAZIMA NINGEMCHAPIA HUYU RAISI "KIWEMBE" NA NINGEFANYA JUU CHINI NIKAMZALISHA HUYU MKE MPYA NA MTOTO AKAFANANA NA MIMI KAMA KAWAIDA YANGU.
ReplyDeleteTEH TEH TEH!!!!!!!!!!!!!!!
watu wengine kwa ubongo wao wa ndege wanakuja na upuuzi eti mila za Kiafrika! Hizi ndizo zilikuwa zikitwa za kishenzi. Kusema kwamba tangu zamanimila hizo zilikuwepo tangu zamani ni upuuzi. Kwa hiyo kwavile zilikuwepo na zile za kurithi mke nazo ziendelezwe?
ReplyDeletei do congratulate mr , president zuma, kwa uamuzi wake, ni ngapi mnanzini, labda tukubali waafrica culture yetu ni kuwa na wake wengi........wazungu wana divorce, sisi tunasema dini hairuhusu, ila ni wangapi mna nyumba ndogo wanawake wa nje, ya nii kuzini kama mnaweza kuhalalisha.
ReplyDeleteNi mke wake wa tatu ingawa ni mara yke ya tano kuoa, sio kwamba saivi ana wake watano. Big up Zuma, just liive your life and let them talk because they have the mouth
ReplyDeleteJamani, Zuma asisakamwe sana maana kila binadamu in staili yake ya kusihi. Mbona akina Mswati wana wake kibao na life goes on kama kawaida.
ReplyDeletedada matilda naomba nipingane nawe kabisaaaaa....kama mila zinamruhusu na uwezo (kingono na kifedha) anao hamna shida..mila na tamaduni weka kando maendeleo ni umakini wa watu tu--angalia uarabuni mila zinawaruhusu kuoa zaidi ya mwanamke mmoja (angalia maendeleo yao), rais wa bolivia (Morales) anacheza ngoma na kula majani ya coca (ambayo yanatumika kutengeneza cocaine) kama sehemu ya utamaduni wa watu wake lakini sehemu zote hizi maendelo sio kama sisi ingawa wanafata mila na tamaduni..acheni wazimu wa kuzani kila wanachosema na kufanya wazungu basi ndo sahihi..fata mila akili kichwani..
ReplyDeletenyinyi mnaomponda mnaojifanya mmeelimika mnaishi kizungu ni watumwa wa utamaduni. BIG UPZ ZUMA..
ReplyDeletekuna baadhi ya vimila vya kiafrika ni vibovu kama mnataka kudumisha mila sana tembeeni peku msivae viatu vaeni magome ya miti kama kina kipepe na mademu vifua wazi msiendeshe magari endesheni baskeli za mbao ili mdumishe mila vizuri manake bado hapa mnaiga umagharibi tu asikudanganye mtu mila za kimagharibi ziko juu tu full maendeleo kuna baadhi ya mambo mabaya na mazuri kadhalika na zetu hivyohivyo
ReplyDeleteKwani kuwa villager ni vibaya? Corrupted minds...kuna mdau hapo juu kasema "mwangalie huyu a real villager" Sawa wewe wa borntown lakini umefulia yeye a real villager lakini ni Prezida wa Bondeni.See that?
ReplyDeleteUtakuta majoriti wanaopinga ni wanawake hili ndo dume.
ReplyDeleteSawa kabisa Mh. Zuma unatulindia heshima wazee, maana kijana wa miaka 27 halali yake kuwa na mke mmoja, lakini kadri anavyokua-kukomaa-kujiamini akifika miaka 35 anaongeza mke wa pili na akifika 42 mke wa tatu, huo ndio ukomavu.
ReplyDeleteKijana akijaliwa umri kama wa Mzee Zuma wake watano kutimiza hapo hata sisi wazee wa baraza tutamkaribisha tuchangie kata ya pombe ya umkomboti, maana anaonyesha ukomavu wa kuweza kuhimili kashikashi za 'mji wake' wenye wake zaidi ya mmoja na watoto 19 na ushee. Wazee wengi wenye mke mmoja huwa hawakanyagi kijiwe chetu kwa sababu tunawatania kuwa bado ni 'watoto' maana iweje Mzee wa miaka 55 ana mke mmoja wakati kijana wake wa miaka 32 tayari ana wake wawili!
Hiyo ni mojawapo ya 'litmus-test' kuonyesha kuwa umekomaa hata nchi ukipewa utaweza kuiongoza, maana ukiwa na mke mmoja mawazo ya 'kiwivu-wivu' mengi mpaka kuongoza shughuli zako za kibiashara inakuwa ngumu sembuse upewe nchi.
Mdau
kijijini Amanzimtoti
Kwa-Zulu Natal
Mzee Zuma ni
Acheni wivu wanawake asipooa mnataka aolewe, uzungu unatusaidia nini zaidi ya kuidistroy dunia, maendeleo gani zaidi ya haya afrika inayoyataka, hii pati ya natural sio viagra,ni lazima na sisi tuwe na kitu tofauti na wazungu nahichi mkitaka msitake wazungu hawatufikii,bravo keep it up dude.
ReplyDeletesasa kama tayari alikuwa na wake wengine 4 kisa cha kubaka kilikuwa nini?
ReplyDeletehuo ni utamaduni wao huyu jamaa anatoka kwenye royal family huko kwa zulu yeye ni kama king flani hivi,mi sioni kama kuna ubaya kuliko wazungu wanakuwa wameoana lakini wanainvite watu waengine kitam=ndani yaani three some wanaita, au unakuta kila siku wanaoa na kuachana si bora huyo wake zake wanapendana na hajawaforce kuishi pamoja
ReplyDeleteankal meseji yangu umenibania kwa sababu imemtaja JK na pinda wanakata keki za birthday.
ReplyDeletepoa tuu lakini lengo langu lilikuwa ni kuwaelimisha waafrika wenzangu, na wala sina chochote against jk.
Big up Zuma!!!
ReplyDeleteHawa wanaokataa ulilolifanya hawajui nature ya mwanamume hasa; siye yule anaepapaswa na wenziwe kusikotakiwa halafu akacheka eti ndio kwenda na wakati?
Hapa ni maneno ya Bush, "You are with us or with them" no middle option. Yaani wewe ni Rijali hasa au another Elton John?
msichanganye utamaduni na common sense tafadhali.....
ReplyDeleteMhh wabeba Maboksi mnanyoodo nyie!!!! Akioa wake watano wanaojulikana rasmi maneno kedekede. Nyie mlio na vidumu kila kona ya mtaa??? Wengine mkihesabiwa hata kumi wanafika!!! AAACHENI HIIZOOOOO.!!!!!
ReplyDeleteHAO WATAJUTA MUDA SI MREFU KAMA NCHI ZINGINE ZA AFRICA,KWANI KWENDA KULICHAGUA ILO JENDAWAZIMU KUWA RAIS WA NCHI SI UJINGA HUO.
ReplyDeleteMDAU MONEY UK.
NIMEMPENDA ZUMA KWA KUFANYA MAMBO YAKE AYAPENDAYO HAZARANI. AU MLITAKA AOE MKE MWINGINE KIMYAKIMYA KAMA WANAVYOFANYA VIONGOZI WENGINE WENYE NAFAZI KAMA YAKE? MARAISI WANAO ONGEZA WAKE WENGINE KIMYA KIMYA HAWAJIAMINI.HEBU FIKIRIA UNASIKIA RAIS WA NCHI AMEONGEZA MKE MWINGINE KIMYAKIMYA HIYO INA IMPLICATION GANI? Michuzi huwa unanibania sana coment zangu hivi ni kwanini? sitaki kuamini kwamba hata hii utahisi itahatarisha uhai wako
ReplyDeleteSisi waafrika sio watu wa maendeleo kwa ajili ya nchi ni uselfish tu. Na ndo maana ukitaka nchi iendelee waachie wazungu wenyewe brain zao zimetulia. Huko South waliifanya ikawa kama Europe lakini baada ya muda sio mrefu kwa mwendo huu itaanza kuharibika kama ni ajira, wizi na ujambazi.
ReplyDeleteKitendo cha huyu bwana ni mila za kiafrika zilizopitwa na wakati. Watoto 19 sio mchezo na sio mfano wa kuigwa.
Pia wanawake wenyewe wanatakiwa kuendelea kujikomboa kielimu, kazi na biashara na kupigia haki zao ili kuwa na sauti katika mila kama hizi.
Zuma is another Lunatic just happen kujua politics akachaguliwa lakini other skills ni zero. Ukisoma historia ya mwanamke aliemuacha anaeleza jinsi mateso aliyoyapata. Hizi skendo zote za kubaka na kuzaa ovyo kama kuku ndio mila?I do not care kama anajua uongozi kuna watu wanajua kazi zao vizuri sana lakini nyumbani kama baba ni zero.I do not care anavyocheza na mila ila historia yake inasikitisha.Anon aliyesema kuna mila nzuri na mbaya nakusupport 100%. Huu ni ulimbukeni wa 67year old kwanza hana nguvu tena anahitaji watu wakumtunza tu.Hivi hao wanounga mkono wangependa watoto wao wakike waolewe na mtu kama zuma?
ReplyDeleteKwa nyongeza kwa Wadau JuaKali and co.
ReplyDeleteHao wakeze Mh. Jacob Zuma wote wana elimu ya kutosha (mpaka vyuoni) na walikuwa/wana kazi zao nzuri tu, mmoja wapo Waziri wa serikali.
Hivyo msiwadharau wake-wenza hao mkadhani hawajui Haki zao, hao wameridhika kipendacho-roho na utamaduni waliokuliwa kumbuka huyo mke mdogo ana umri wa miaka 37 tu.
Pia hao kina mama wana elimu ya shule kuliko Mh. Zuma ambaye ilibidi apate elimu-duniya kutokana na sera za ubaguzi zilizomfanya awe mkimbizi nje ya Afrika ya Kusini akiwa kijana mbichi na baadaye kupewa cheo cha mkuu wa usalama wa Umkhoto We Sizwe yaani jeshi la ukombozi la ANC uhamishoni.
Mimi mzee mzima kuna mwenzetu hulalamika kwa mkewe kuwa anadharauliwa na wazee wenziwe kwa kuwa na mke mmoja miaka yote 30 ya ndoa kuna mdau pia amegusia hilo.
Hivyo kina mama wa kitanzania msiache mila zetu za kiafrika, ndoa ya wake wengi nzuri- kupiga soga na wenzio, ukienda likizo mke mwenza anakutazamia watoto, ukijifungua mke mwenza anakuchemshia maji ya moto, maji DAWASO yakikatika zamu kumtengea mume maji,yaani listi ya mema ktk uke-wenza ni ndefu mpaka raha.
Mdau
Mumewangu
Hii ni safi sana kuliko zxa wengine wenye ku-"ape" za Ulaya au Uarabuni!
ReplyDeletehao wazungu wasiooa kila siku mmewasahau nini wanavyocheat? Clinton, Sarkozy mmewasahau ehe?
ReplyDeleteZuma alishasema politicians wengi wana vimada na watoto kibao nje wanawaficha, yeye ameamua kuwa mkweli, kama kuna mtu amezaa nae mtajua, kama kuna mtu amemtole mahari mtajua na badala ya kucheat anaongeza wake tu!
i dont see anything bad about that as along as amekubaliana na wake zake na anaendesha nchi vizuri!
msisahau Tiger Woods alikuwa na wanawake 10.
ReplyDeleteNAKUMBUKA WAKATI ANASALIMIANA NA MISS MMOJA TOKA UGANDA KUNA MTOA COMMENT AKASEMA FISI ANASLIMIANA NA MBUZI KUMBE NIMEAMINI.JITU ZIMA UTAFIKIRI GANGA LA JADI.KUNA TAMADUNI ZA KUTUNZA NA NYINGINE NI AIBU.RAISI ANAOA KAMA KUKU?WAMEPIMA?
ReplyDeleteRAIS KAMA HUYO ATAACHA KUIBA PESA ZA UMMA WAKE WOTE HAO NA WATOTO WOTE HAO, HIVI WAKE KIBAO ANAO NA BADO ALIM-RAPE YULE BINTI MWENYE UKIMWI!!! HAFAI KUWA RAIS, SOUTH AFRIKA ITASHUKA CHINI MI YANGU MACHO UTAONA HIYO NCHI INTAVYOZAMA KIUCHUMI NA KI-POPULARITY. ALING'ANG'ANIA URAIS KWA VILE ALIKUWA MKUU WA MAJESHI YA UMKOTWE- WE-SINZWE(NOT SURE WITH THE SPELLS) NDO ALIONA NI HAKI YAKE NAYE AUPITIE URAIS LAKINI IS NOT QUALIFIED FOR THE THAT TOP JOB.
ReplyDeleteWatu wanashindwa kuelewa tofauti ya kuelimika na kuuvaa uzungu. wewe kama unadhania kuwa etu Zuma fala, embu soma historia yake. Zuma ni mjeshi tena ni kiboko.
ReplyDeleteSababu mojawapo ya mapigano ya ukombozi wa Afrika kusini ni kuwawezesha waafrika waweze kubakia waafrika. Sasa wenzetu "wathomi" mlioelimika ambao uafrika ni kitu kichafu kisichostaarabika kwenu, endeleeni kujikataa. Na huo upumbavu wenu ndo maana mnaamini kuwa majina kama Stewart au idris ni majina yanayowasogeza karibu na mungu.
Poleni.
Naona mzungu kazi yake Afrika kashamaliza maana mapigano yake yote sasa yanafanywa na the "educated mwafrika".
ReplyDeleteHao ndio tishio kwetu sisi(villagers) maana wanakemea kile ambacho wanaona kimemkwamisha katika jitihada zake za kuwa mzungu mweusi.
We soma tu comments zao hapa na zile za kina John Smith au Mary Hickebery from The Guardian U.K. Tofauti haipo maana huyo John Smith kweli anaweza kuwa ni mbongo.
Job well done mzungu.
Rest in Peace Simba wa Vita, idadi ya watoto wa kwenye ndoa kama 15 hivi,na idadi kamili au ya watoto iliyokamilika fanya kama mara mbili ya hao 15.
ReplyDeleteAt least we can safely say watoto wako tunao kwenye kutafuta Maisha hujaiba na kuliachia Taifa Hasara. Katika Viongozi wooote wakubwa waliopita Tanzania Ni watoto wa kwako tu Mzee Kawawa,Wa Marehemu Edward Sokoine na wa Baba Yetu wa Taifa Mwalimu Nyerere ambao wanaishi maisha ya Mtanzania wa kawaida.
Mwenyezi Mungu atawaipia mema yote mliotutendea na kuukataa UFISADI. Amen..
Kuna ndugu yangu alisema tatizo la Afrika sio uongozi ni watu.. sasa naamini. Kuna wanaosema haya mambo ni mila na yadumishwe, na kuna wanaokemea hili jambo. Mimi binafsi namuona huyu bwana hafai kuwa kiongozi na kuna watu watasema mimi ninafikra za kitumwa. Swali langu nani anataka kupinga kuwa hii nchi ya Afrika Kusini itaharibika tu chini ya Uongozi wa watu kama hawa? Sisi Waafrika ndio maana wenzetu walioendelea wanatucheka tu na naona wanaamini kabisa sisi akili zetu nusu. Wakati walioendelea wakifunga balozi zao Kampala, mke wa Amini kakutwa kafa kwenye buti la gari sisi tulimchagua kuwa mwenyekiti wa OAU!!!
ReplyDeleteNchi inaangamia na ukimwi, Rais anaendekeza ngono, na watu wanashangilia. Nawapa SA miaka kumi tu na viongozi hawa, watakuja Bongo kutuomba msosi; si mmeona Zimbabwe?
big up sana mtoa maoni no Tue Jan 05, 11:10:00 PM: hili suala la fikra za mwafrika kutawaliwa na uzungu naona limeshika kasi haswa..mimi mkristo na ntakuambia kitu:leo hii ukienda kumbatiza mtoto ukampa jina la MAGANGA (MAANA YAKE JIWE KWA LUGHA FLANI YA WATANI ZANGU) utaambiwa sio jina la kikiristo lakini ukamuita PETER (JIWE HIVYO HIVYO KWA "KIDHUNGU") ama PIERRE (nadhani "spelingi" nimepatia) ambayo ni kifaransa na maana hiyo hiyo utaambiwa sawa hilo jina la kikiristo..cha ajabu anayekubishia usitumie jina la MAGANGA ni mweusi mwenzio...!!!!
ReplyDeleteKWANGU MIMI nadhani mjadala wa ZUMA unafanana kabisa na mfano huo wa majina!WAAFRIKA BADO TUKO KWENYE DIMBWI LA UTUMWA WA FIKRA!na ole wetu na hizi tamthlia za kina "SALVADO" uafrika wetu wote kwisha!
big up ma men ZUMA!
Wewe uliyeejiita akili, umekosea jina lako mwenyewe. Wewe unaitwa "akili za kizungu". Ni vizuri kwamba unajielewa kama una akili za kitumwa kwa sababu huo ni mwanzo wa kurekebisha upumbavu wako.
ReplyDeleteUkimwi upo dunia nzima, na usenge ndiyo chanzo kikubwa cha kueneza ukimwi. Lakini kwa kuwa Mungu wenu Mzungu ni msenge na anaruhusu usenge, hamuoni kama hilo ni tatizo.
Ankal CCM usinibanie meseji yangu.
Michuzi are you serious? how could you have allowed comment ya anonymous ya jan 06 01:24 PM.. I mean really? I never comment on this website,though i usually come and read your articles and people's opinions ila leo nimeshindwa kuvumilia. I had thought so much of you, until i saw that comment! kwahiyo huyo Mungu Mzungu ni nani? I dont think you would have liked that comment if you were any other religion apart from Muislamu. Mnaudhi sana kila siku mnalia kuwa mnatengwa,mnanyanyaswa yet you are the ones who are associated with all the sinister things.. from kutukana wenzenu,to terrorism and all that crap. Yet you put up such a comment on your website? SHAME ON YOU. wether you put this message up or not,i could care less,ILA MESSAGE DELIVERED.
ReplyDeleteKUmbe Zuma anapenda Uislamu?
ReplyDeletehehehe
(US Blogger)
wewe mtoa maoni wa Wed Jan 06, 08:53:00 PM
ReplyDeleteHivi umetoroka mirembe au vipi? kuna uhusiano gani wa uislamu na huyo jamaa aliyetukana wazunngu?
Michuzi ni mwandishi aliyebobea, na tangu mimi nipo mtoto nakumbuka kuangalia picha zake gazetini (Na Muhidin Issa Michuzi)
Anaielewa taaluma yake ipasavyo na anatundika maoni yenye mitazamo tofauti. kama umekasirika saga chupa ubwie.