WATANZANIA WOTE MNAOISHI HOUSTON, TEXAS, MAREKANI MNAALIKWA KWENYE TUKIO MAALUMU LA KIHISTORIA NA LA KWANZA KUFANYIKA NDANI YA HOUSTON.

ITS HOUSTON BEST AFRICAN DJ CONTEST

IKITANGULIWA NA

'RED CARPET ' SHOWDOWN

TAREHE 30 JAN, 2010.

IN THE RED CARPET AMBAYO ITAFANYIKA KUANZIA SAA NNE (10PM) MPAKA SAA TANO (11PM) KILA MTU WADADA NA WAKAKA MNAOMBWA KUPENDEZA BEYOND THE LIMIT KWA AJILI YA 'RED CARPET VIDEO AND PHOTO SHOOT. RED CARPET, PHOTO & VIDEO SHOOT IS FREE TO EVERYBODY! & COPIES OF VIDEO & PHOTOS ZITAGAWIWA BURE KWA YOYOTE YULE ATAKAESHIRIKI KWENYE RED CARPET!

WAANDAAJI WANASISITIZA KWAMBA 'RED CARPET' SHOWDOWN IS ONLY GONNA LAST FOR 1 HR, FROM 10PM TO 11PM. BAADA YA HAPO KUTAKUWA NA 'HOUSTON BEST AFRICAN DJ CONTEST' KUANZIA SAA SITA USIKU (12 MIDNIGHT) NA BAADA YA HAPO NI PARTY MPAKA KUNAKUCHA!

COME AND VOTE FOR UR FAVOURITE AFRICAN DJ IN HOUSTON.

VIINGILIO VYA CONTEST & PARTY NI KAMA IFUATAVYO BEFORE 12 MIDNIGHT $ 10, AND AFTER MIDNIGHT $ 15.

KUMBUKA KUNA ZAWADI KWA AJILI YA:
*THE BEST RED CARPET COUPLE OUTFIT,
*THE BEST REDCARPET MALE OUTFIT
*THE BEST RED CARPET FEMALE OUTFIT.

PIA KUMBUKA MA DJ WAKO WOTE WAKALI WA KIAFRIKA HAPA HOUSTON TX, WATAKUWA NDANI YA NYUMBA WAKITOANA JASHO HUKU NA WEWE UKISHIKILIA VIATU MKONONI KWENYE DANCE FLOOR!

WADAU WA HOUSTON MNAOMBWA KUTOA USHIRIKIANO KUFANIKISHA 'RED CARPET NA MASHINDANO YA MA DJ, IKIWA PAMOJA NA KUWAHI TUKIONI ( SAA NNE KAMILI USIKU)

KARIBUNI WOOOOOOOOTEEE!!

THE ADRESS IS
7601 DE MOSS DR,
TX 77036.
JAN 30, 2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. DJ KC ATAKUWA NDANI YA NYUMBANI NA MABOLINGO YAKE NA OLDS SKULS KWANI ANATISHA SANA DOGO HUYU

    ReplyDelete
  2. HOUSTON MTULIE SASA DUUUU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...