Naomba umpe salamu kocha wa Taifa Stars Marcio MAximo pamoja na TFF kwamba kuna mchezaji aitwaye suleiman abdallah ambaye anacheza mpira ulaya na anafaa kuja kujiunga na taifa stars. Ana umri wa miaka 18 tu.
http://midas-sports.com/midas_sports_championship.shtml
http://midas-sports.com/midas_sports_championship.shtml
hiyo ni website ya agent wake. Kazi kwenu.
Mdau Coventry





KAMA KWELI JAMAA NI MZURI BASI PELEKA VIDEO ZAKE NYUMBANI KWA AKINA MAXIMO SIYO KUSEMA TUU KUWA ANAFAA. LABDA ANACHEZA KWA KUJIFURAHISHA TUU MCHANGANI NANI ANAJUA.
ReplyDeletedogo tumemuona,lakini bado yuko academy,sio complete player wa coventry,anacheza mechi za academy squad....tumpe muda atafika tu, tusimpe pressure tukamuharibu
ReplyDeletemakubwa. basi kila anayedunda mpira nje ya nchi aingizwe timu ya taifa. hizo namba bado zipo tu?
ReplyDeleteHuyu Dogo Nimemuona Mie pia kucheza ila Game za Academy yani anatizamwa anaweza kununuliwa au kuachiwa ila Agency wake anawatu wa maana kama huyo Simon Church kachezea Reading Vs Liverpool walivyowafunga Liverpool Fa Cup. Bado dogo anatakiwa kujitahidi tunamuombea mungu na mafanikio. Kuhusu Maximo ni yeye mwenye avuke mpaka wakuchezea Timu yake kubwa kwanza. Seif.
ReplyDeleteThat is interesting! With all due respect, at the age of 18 going to 19 and still in academy is a worry. Commercialised football is so competitive and talents are usually demonstrated all along the growth process - from under 17 to under 21, say, and if one has not done so by 20 chances are he will never make it. Just what makes a player suitable for a national team does not seem to be clear to some but we all surely know a talent if we see one. The bottom line is to setup strong academies here at home. Which reminds me of a related issue of the Diaspora - I believe the key to our development lies here at home. Let us improve our educational and research institutions to levels which they can interact with those in developed countries on equal terms, let us develop our sporting infrastructure to levels that they can supply superstars to European leagues - then, and only then, should we considerourselves as world class. And before you say, I am ruling out exploting Tanzanian potential talents overseas - but as I said above, talents being talents you cannot suppress them and surely they should not be objects of simple marketing...
ReplyDeleteNadhani huyo anamfaa Rodrigo Stockler.
ReplyDeletejamani haimaanishi kwamba kila mtanzania anayecheza mpira nnje aitwe ktk timu ya taifa! sasa tff itaita wangapi?
ReplyDeleteKUCHEZA MPIRA NA WAZUNGU AU ULAYA SI KIGEZO CHA UMAHILI, WAZUNGU NI WATU KAMA TULIVYO SISI NA SI WAZUNGU WOTE WANAJUA MPIRA. TUNATAKA KUJUA SIFA ZAKE KUTOKA KLABU YA DARAJA LA KWANZA AU LA PILI IKWEPO HOJA.
ReplyDeleteDual citezenship bado - atakubali kuutosa uingereza na achuku utanzania? Haya yamewakuta wengi tuu including Kali Ongala na wale vijana wawili wa Arusha nadhani ambao wapo League 1 na Championship uingereza. Wote imekuwa ngumu kuutosa uingereza wao kwa utanzania.
ReplyDeleteAl Musoma, You cannot just be such dismissive, your suggestions and conclusions it remains to be Politics,
ReplyDeleteI can argue on such dismissive argument, by adding that, "The guy is in such an excellent hand, where would you want him to be in Tanzanian Academy? or some school football league in UK," He has shown the potential and thats why he has been drafted to such high profile academy team.
The only thing we can say that, he only needs to work hard, and he will do fine, if not in premiership, at least championship league.
Peleka kwanza iyo dogodogo kwa Le Boss pale north london kabla ya kwa maximo na uone kama hatachukuliwa.Amu terringi you 100%Wenger lasima amununue kijana huyo.
ReplyDeleteTimu ya Coventry City http://www.ccfc.co.uk/page/Home/0,,10269,00.html
ReplyDeleteni timu inayojulikana sana hapa Uingereza, naamini Sully Lulee(Suleiman)anafahamu hivyo ndio maana hakujikweza kutaka kuingia premier league kwa ndoto za mchana, ajitahidi kuzingatia mazoezi na atafanikiwa popote.
Pia timu kama hii au Dagenham&Reds, walsall, Hull, watford n.k kina Ngassa, Mgosi, Ambani n.k wangetakiwa kujaribu, sio kuwa na mawazo ya kujiunga moja kwa moja na premier league ya England.
Mdau
Msemakweli.
Mimi mwanangu anacheza timu ya mchanganyiko ya wanafunzi wa skuli za uk. toka alipochaguliwa hakukosa kuwemo katika kila mechi. Wanasafiri kwenda nchi mbalio mbali kwa mashindano na anafanya vizuri sana. sijui nami nimwambia kocha wa taifa tanzania amchague kuchezea timu yetu ya taifa?
ReplyDeleteHang on! ni bado mchanga na sijui kesho akiamka mzima hatosema kama hapendi mpira tena anataka kuwa mwanariadha au kucheza basketball.
Just to clarify that I meant "...not ruling out..." rather than "...ruling out..."
ReplyDelete