Kikosi Kazi cha Voice of America (VOA) idhaa ya Kiswahili kinawatakia wadau wote wa Globu ya Jamii heri ya mwaka mpya. Ujumbe: Tuendeleze libeneke. Toka shoto ni Juma Nkamia, Mwamoyo Hamza (mkuu wa idhaa), Mkamiti Kibayasi,Khadija Riyami na Sunday Shomari na kwa upande wa nyuma Abdu shakura Aboud,Ester Ewart na Duane Collins.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nkamia kitambi hicho

    ReplyDelete
  2. SWALI. hivi VOA inapatikana live online? naipenda sana sauti ya amerika(swahili) nilikuwa siikosi nilipokuwa home. sasa nipo hapa UK nauliza nitawezaje kuwa naisikiliza?

    ReplyDelete
  3. Wengine wote hapo ni poa tu!! ila kuna mtu mmoja kati yenu anapenda sana watu wajue kama ana Title fulani hivi,kumbe mwe ni vitu vya kawaida saaana, anapenda ujiko ile mbaya duh noma!

    ReplyDelete
  4. Anonymous wa 09.00
    kama mungu kamjalia kupata hiyo title tatizo liko wapi? au kwa vile wewe unatamani ungekuwa kwenye nafasi yake ndio maana inakuuma? acha hizo ...furahia mwenzio akiwa na mafanikio na ndio siri ya wewe kutoka hapo ulipo na kufika mbali

    ReplyDelete
  5. LABDA CHA MSINGI VOA WATOE VIGEZO GANI VINATUMIKA ILI MTU KUAJIRIWA KULE. MATANGAZO YAO YA KAZI YAWEKWE WAZI ILI WENYE SIFA WAOMBE KAZI NA WAKISHINDWA WASILALAMIKE. HONGERENI TIMU YA BONGO MLIOFANIKIWA KWENYE VOA MUNGU AWAJALIE

    ReplyDelete
  6. Playa haters wameshaanza!! mmeona kwanini Wabongo tunachelewa mambo yetu? Huyo Jan 7, 9:00pm kazini kwake pengine hata ukarani hajapata bado.. vitu vya kawaida? Ninyi ndio mtu akiandika jina lake na Dr. au Prof. mnadai anamaringo!! hebu toka kwenye globu yetu ya wenye vichwa. Wenzio tunapenda maendeleo ya watu wewe kama ukoo mzima hamna mwenye diploma, nenda shule tu!!
    Anyway, kuna mdau hapo amekula kaa Bili Getsi!! na anaendeleza libenekez mpaka Washington DC kaa Obama!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...