

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana sifiwe.
ReplyDelete(US Blogger)
I like that. Was it Jesus who said "...man shalt not live by bread alone..."? On the way from church one can quite legitimately pick a piece of free maguportion...
ReplyDeletekhaaa kumbe waligawiwa kila mtu kiivi???
ReplyDeleteso unakuja church wapata pande lako
ila samaki mkubwa hivi siwezi kula labda wamkate vipande vidogo sana nisijue ndo ntamla
"maguportion"haki kwa wote,mungu ibariki tanzania
ReplyDeleteSijaipenda hii system.Kuwalisha watu samaki waliovulia karibu mwaka mzima na kuifadhiwa kwenye fridge hata ladha imekishwa. Serikali yetu haina maamuzi ya haraka. Pindi wamewakamata walichofuatia ni uamuzi wa kuwagawa mara moja isizidi hata mwezi kuliko kuingia gharama za kuifadhi na sasa ni kama sumu tu kwa wananchi. Na ukwakika hata ukiwakamulia Limao bado hawatakuwa na ladha. Bora ukajinunulia fresh fish feri kila cku wanavulia kuliko kurisk na samaki wa mwaka mzima kwenye fridge. Cheapest is expensive(cha bure kina madhara)
ReplyDeleteOvyooo! samaki wenyewe wamewekwa chini kwenye nyasi ambazo zitakuwa na uchafu wa kila aina kama vile mikojo, vinyesi nk. kipindupindu na magonjwa mengineyo yanayosababishwa na mazingira machafu kamwe havitakwisha Tanzania.Kama mtu hajahara hapo baada ya kula hao samaki amshukuru mwenyezi Mungu.
ReplyDelete