wadau wakikatakata samaki kabla ya kugawana kwenye viunga vya kanisa la assemblie of God la Mikocheni. samaki hao ni wale waliokamatwa katika meli iliyokuwa ikivua kwenye bahari ya hindi na baada ya vuta nikuvute za kisheria mahakamani, serikali ikaamua iwagawe bure kwa taasisi za elimu, dini na vituo vya kulelea watoto yatima na mahospitali, zoezi ambalo limeendelea vyema kila sehemu
wadau wakigawana samaki wa magufuli
mama anajiondokea na mnofu wake
wadau wakiwa shughulini
kila mtu alipata kiasi cha mboga





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Bwana sifiwe.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. I like that. Was it Jesus who said "...man shalt not live by bread alone..."? On the way from church one can quite legitimately pick a piece of free maguportion...

    ReplyDelete
  3. khaaa kumbe waligawiwa kila mtu kiivi???
    so unakuja church wapata pande lako

    ila samaki mkubwa hivi siwezi kula labda wamkate vipande vidogo sana nisijue ndo ntamla

    ReplyDelete
  4. "maguportion"haki kwa wote,mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  5. Sijaipenda hii system.Kuwalisha watu samaki waliovulia karibu mwaka mzima na kuifadhiwa kwenye fridge hata ladha imekishwa. Serikali yetu haina maamuzi ya haraka. Pindi wamewakamata walichofuatia ni uamuzi wa kuwagawa mara moja isizidi hata mwezi kuliko kuingia gharama za kuifadhi na sasa ni kama sumu tu kwa wananchi. Na ukwakika hata ukiwakamulia Limao bado hawatakuwa na ladha. Bora ukajinunulia fresh fish feri kila cku wanavulia kuliko kurisk na samaki wa mwaka mzima kwenye fridge. Cheapest is expensive(cha bure kina madhara)

    ReplyDelete
  6. Ovyooo! samaki wenyewe wamewekwa chini kwenye nyasi ambazo zitakuwa na uchafu wa kila aina kama vile mikojo, vinyesi nk. kipindupindu na magonjwa mengineyo yanayosababishwa na mazingira machafu kamwe havitakwisha Tanzania.Kama mtu hajahara hapo baada ya kula hao samaki amshukuru mwenyezi Mungu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...