Salamu ankal michuzi
Ningependa uwape nyuzz watanzania kuhusu mastaa wa marekani wanaokwea mlima Kilimanjaro kuanzia kesho kwa ajili ya kuweka mwangaza kuhusu tatizo la maji duniani.
Wametengeneza website kabambe kuripoti safari yao:
http://www.summitonthesummit.com/

The list as of now: rapper Lupe Fiasco, actress/model Jessica Biel, conservationist and explorer Alexandra Cousteau, environmentalist Kick Kennedy, award-winning photographers Michael Muller and Jimmy Chin, singer Santi White and actress Isabel Lucas.

Habari zaidi.
http://www.unhcr.org/4b4730226.html

Picha ya Lupe Fiasco:
http://en.wikipedia.org/wiki/File:Lupefiasco.jpg

asante
mdau nambari 1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jamani vile vibao pale juu vinatia aibu kwa nini wanaohusika wasibadilishe??na pesa zipo??si kazi ndogo tu hiyo??

    ReplyDelete
  2. MLIMA KILIMANJARO UNATUMIKA KUTENGENEZA/KUINGIZA BILLIONS OF $$, NDIO MAANA WATANZANIA TUNAPENDWA SANA KWA UKARIMU USIO KIFANI. NDIO WATALETA WATALII LAKINI...THINK OUTSIDE THE BOX...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...