Salamu ankal michuzi
Ningependa uwape nyuzz watanzania kuhusu mastaa wa marekani wanaokwea mlima Kilimanjaro kuanzia kesho kwa ajili ya kuweka mwangaza kuhusu tatizo la maji duniani.
Wametengeneza website kabambe kuripoti safari yao:
http://www.summitonthesummit.com/
The list as of now: rapper Lupe Fiasco, actress/model Jessica Biel, conservationist and explorer Alexandra Cousteau, environmentalist Kick Kennedy, award-winning photographers Michael Muller and Jimmy Chin, singer Santi White and actress Isabel Lucas.
Habari zaidi.
http://www.unhcr.org/4b4730226.html
Picha ya Lupe Fiasco:
http://en.wikipedia.org/wiki/File:Lupefiasco.jpg
asante
mdau nambari 1

jamani vile vibao pale juu vinatia aibu kwa nini wanaohusika wasibadilishe??na pesa zipo??si kazi ndogo tu hiyo??
ReplyDeleteMLIMA KILIMANJARO UNATUMIKA KUTENGENEZA/KUINGIZA BILLIONS OF $$, NDIO MAANA WATANZANIA TUNAPENDWA SANA KWA UKARIMU USIO KIFANI. NDIO WATALETA WATALII LAKINI...THINK OUTSIDE THE BOX...
ReplyDelete