Home
Unlabelled
Tanga kunani paleeee???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
thanks lili. but unaendaga hapo na mumeo au?
ReplyDeleteYap Thank you watu wangu wa Home Tanga sasahivi ni kazi kwa kwenda mbele tunategemea ndani ya miaka mitano ijayo viota kama hivi vitakuwa vya kumwaga maana Tanga Ina hadhi ya jiji sasa ni lazima sehemu zake zikae kama jiji nkweli Keep it up Tanga beach resort management.Mdau Holland.
ReplyDeleteviota kama vinaitajika kwa wingi tunawaomba wadau na watu wengineo wenye uwezo wafanye mambo kama hayo hapo tanga kwa ni mji wenye raha tele ila umesahaulika! mdau
ReplyDeleteyap inaonekana mambo ya tanga sasa yanakuwa si mchezo...hivyohivyo jamani jamani kazeni buti!
ReplyDeletekisuri sana lakini visiwe vingi hakuna market ya viota kama hivyo kwa Tanga labdha wageni kutoka mikoani.
ReplyDeleteJe, ni ya nani?
ReplyDeleteraskazoni kuna vitu kibao.ila jamani watunga sera wameusahau mji ule ni highly potential kwa uchumi ingawa wakazi nao ni aibu.WAZEMBE.
ReplyDeleteMmmh!!Tanga imebadilika Jamani sio mchezo,nilitembelea site ya hao jamaa www.tangabeachresort.com ,wapo juu hotel nzuri sana
ReplyDeleteyeah nipo likizo tanzania nipo tanga kwasasa nimefika hii kona kitu kiomja tu sikupendelea kwa sehemu kama ile bill zao zakuandika kwa mkona lazina wawe na point of sale software na bill print manake ile yakuandika kwa mkona waiters wanakamua tu ok ndo hayo tu ila nilikula prawns safi sana kwa beer
ReplyDeletehicho kiota nicha jamaa mmoja anaitwa HAMISI KINDOROKO mmiliki wa SILER GENERAL anajitahidi
ReplyDelete