Michuzi,
Heri ya Mwaka Mpya ankal,
Nakutumia taswira ya kiota kipya cha maraha cha Tanga, al-maarufu kama Tanga Beach Resort. Kipo maeneo ya Raskazone, mjini Tanga. Yaani usipime!

Mdau Lilly

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. thanks lili. but unaendaga hapo na mumeo au?

    ReplyDelete
  2. Yap Thank you watu wangu wa Home Tanga sasahivi ni kazi kwa kwenda mbele tunategemea ndani ya miaka mitano ijayo viota kama hivi vitakuwa vya kumwaga maana Tanga Ina hadhi ya jiji sasa ni lazima sehemu zake zikae kama jiji nkweli Keep it up Tanga beach resort management.Mdau Holland.

    ReplyDelete
  3. viota kama vinaitajika kwa wingi tunawaomba wadau na watu wengineo wenye uwezo wafanye mambo kama hayo hapo tanga kwa ni mji wenye raha tele ila umesahaulika! mdau

    ReplyDelete
  4. yap inaonekana mambo ya tanga sasa yanakuwa si mchezo...hivyohivyo jamani jamani kazeni buti!

    ReplyDelete
  5. kisuri sana lakini visiwe vingi hakuna market ya viota kama hivyo kwa Tanga labdha wageni kutoka mikoani.

    ReplyDelete
  6. Je, ni ya nani?

    ReplyDelete
  7. raskazoni kuna vitu kibao.ila jamani watunga sera wameusahau mji ule ni highly potential kwa uchumi ingawa wakazi nao ni aibu.WAZEMBE.

    ReplyDelete
  8. Mmmh!!Tanga imebadilika Jamani sio mchezo,nilitembelea site ya hao jamaa www.tangabeachresort.com ,wapo juu hotel nzuri sana

    ReplyDelete
  9. yeah nipo likizo tanzania nipo tanga kwasasa nimefika hii kona kitu kiomja tu sikupendelea kwa sehemu kama ile bill zao zakuandika kwa mkona lazina wawe na point of sale software na bill print manake ile yakuandika kwa mkona waiters wanakamua tu ok ndo hayo tu ila nilikula prawns safi sana kwa beer

    ReplyDelete
  10. hicho kiota nicha jamaa mmoja anaitwa HAMISI KINDOROKO mmiliki wa SILER GENERAL anajitahidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...