
Mimi ndau wa Iceland nikipata nauri nakuja nyumbani kuwapa chemina wajomba zangu wakina Matonya wachifuatwefuatwe tena na wale wagambo wa jiji na nimebaini njia mbadala ya kukaba mpaka kivuli au hata penati kabicha. Taswira zinajieleza.
china mengi najua utanichaidia kwenye hako kajielimu kangu pindi nikipata nauri. zaidi kama kuna ndau ana maarifa naomba ayamwage hapa katika kuliendeleza taifa.
Mdau wa Iceland
Wewe mama mbavu zangu weeeeee.ahsante mdau wa iceland kwa barua pepe yako mimi nashukuru kwa kuuona mwaka na kuvuta huyo okisijeni pia hiyo elimu ni vizuri ukaja kuwapa hata wale wagambo wa jiji pia maana wakichukua wanakwenda kugawana,nikimuona matonya nitampa salam zako
ReplyDeleteAfadhali wewe umetafuta nauri ya kwenda na sasa unatafuta nauri ya kurudi na elimu kumuendeleza mjomba Matonya na nduguze
ReplyDeleteAHSANTE MICHU KWA NZURI SANA
Mbona huyo Mjomba wako nilisoma nae chuo kikuu elimu gani anahitaji wewe mletee bunduki apambane na mgambo wa jiji tuu
ReplyDeleteHaya wabeba boksi na nyinyi mtaleta nini kwa matonyazii wa kikwete pale uwanja wa mbinde D.I.A
ReplyDelete