mshambuliaji wa simba sc uhuru selemani akiwa na mai waifu wake jamila haji yusuf majura kwenye mnuso baada ya kumeremeta usiku wa kuamkie leo katika ukumbi wa jkt mgulani. bi harusi ni askari polisi
maharusi wakiwa na wapambe wao
maharusi wakiwa na wawakilishi wa wachezaji na viongozi wa simba sc. ambapo walijitokeza wachache kwa kuwa timu iko kambini zenji
maharusi na familia zao




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. NINASHANGAA HUYU DADA HAJA PAKA HINA MWILI MZIMA MAANA HAWA WANAWAKE WA KIISLAMU WA ZANZIBAR KIDOGO WANATOFAUTIANA NA WANAWAKE WAISLAMU WA BARA.WENYEWE HOBI YAO NI HINA MWILI MZIMA

    ReplyDelete
  2. Waacha weeee!!! Ee bwana eeh. Sasa huyu mpambe wa bi harusi naye ni askari polisi? Inapendeza kweli.

    ReplyDelete
  3. Hongereni maharusi mmependeza sana. Kumbe maaskari wanatongozeka! He..basi miye nilikuwa nawaogopa sana. Nikisema utawaanzaje? Kumbe inawezekana.

    Raia.

    ReplyDelete
  4. ANKAL TUNAOMBA UTUFAHAMISHE MAENDELEO YA MZEE WETU HAMISI KITAMBI ALIELAZWA HAPO MOI MMC KWANI TUMEPATA HABARI ZA KUTATANISHA
    MDAU
    UGAIBUNI

    ReplyDelete
  5. hongeren sana maharusi kwa hatua hiyo na mwenyez Mungu awajalie maisha yenye kila aina ya mafanikio na baraka tele kutoka kwake Allah

    My deare sisy Jamila real nimefurah sana kuona upo katika hatuahiyo nina imani hiyo pia ni mfano mzima kwa police wengine pia mabint kama wewe nasi Pc Imma,Anold,Husein,David,Husein nami kakako Dismas tunaiga mfano wako.
    Mola awatangulie katika yote na mjaliwe matunda ya ndoa mema.
    its me DIPEMBA

    ReplyDelete
  6. Michuzi jamani ebu tupatie latest za mafutibolla waliovaamia Angola?

    ReplyDelete
  7. Aise mbona maarusi wamefanana hivyo, mpaka wanafurahisha.

    ReplyDelete
  8. BREAKING NEWS-Team ya Togo wamevaamiwa huko Angola wakiwa wanasafiri kwa bus - mpaka sasa watu watatu wamekufa pamoja na kocha wa Togo wengine 9wamejeruhiwa. Sad sad sad

    ReplyDelete
  9. aki anano wi afandi jamila unamelimeti!!na mmeu pia anapig magoli kama hani akilo nzuli vili!
    akilita zakuleti unamfungii kwenyi kaselo katogo hadi anakioni cha moto.nawewi usipeleki difendi uswahilino,watikuletea za huuu haaa wapige mashuti hadi mkimbii,lakini nawafagilia pale migomigo mliyapi majambawazi hadi nikawavulia kofia,asee wewe asee wewe!!aaaanameli! aanamelimetii,aaanameli!anamelimetiii.

    ReplyDelete
  10. Mchangiaji wa juu umeniacha hoi lol...yaani nimecheka mpaka nimelia lol
    kuna watu wana vituko sana tena sana

    ReplyDelete
  11. jamani kuna bambo humu ndani yani nimecheka mbavu zinauma eh we mdau hapo juu ni kiboko haki ya mbongo!!

    ReplyDelete
  12. Nimekubali kweli Jamila ni Askari polisi huu mkao wa picha ya2 na na hisi hata mpambe ni afande hongereni sana,
    Mdau
    Kisiju Pwani

    ReplyDelete
  13. Hongera mdogo wangu Jamilla, big sister love Shamohds

    ReplyDelete
  14. Hongera bwana na bibi harusi,Wee anon wa juu hapo huujui utamu wa hina,laiti ungelijua utamu wa hina ungeufyata mdomo wako pamoja na hao wenzio waliocheka mpaka mkalia,ndio maana mnakimbiwa na mabwana halafu mnalia poleni sana.

    ReplyDelete
  15. Hongereni maharusi..sema bw.harusi naona protocal hujaizingatia vizuri, unakaaje kulia kwa mkeo..alafu na kumwacha matron anachuka position yako...umeniangusha kwa hilo mwana! Otherwise big up mfano mzuri kwa wachezaji wnegine!

    ReplyDelete
  16. kuna watu wanavipaji vya kuchekesha, kila ukisoma hio comment ya anon wa sat 06.27 na kuweka accent yake kicheko kinakuja chenyewe.

    ReplyDelete
  17. Ama kweli polichi polichi bibi harusi huo mkao wake hata kulainika kidogo mwe! sasa mambo ya hina vipi au maadili ya kazi hayaruhusu? Ila hongereni sana na Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  18. yani uyo Bambo mie sina mbavu,,,uwiiii ivi visa vya umu bloguni acheni

    mbavuuuuu zanguuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...