


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NINASHANGAA HUYU DADA HAJA PAKA HINA MWILI MZIMA MAANA HAWA WANAWAKE WA KIISLAMU WA ZANZIBAR KIDOGO WANATOFAUTIANA NA WANAWAKE WAISLAMU WA BARA.WENYEWE HOBI YAO NI HINA MWILI MZIMA
ReplyDeleteWaacha weeee!!! Ee bwana eeh. Sasa huyu mpambe wa bi harusi naye ni askari polisi? Inapendeza kweli.
ReplyDeleteHongereni maharusi mmependeza sana. Kumbe maaskari wanatongozeka! He..basi miye nilikuwa nawaogopa sana. Nikisema utawaanzaje? Kumbe inawezekana.
ReplyDeleteRaia.
ANKAL TUNAOMBA UTUFAHAMISHE MAENDELEO YA MZEE WETU HAMISI KITAMBI ALIELAZWA HAPO MOI MMC KWANI TUMEPATA HABARI ZA KUTATANISHA
ReplyDeleteMDAU
UGAIBUNI
hongeren sana maharusi kwa hatua hiyo na mwenyez Mungu awajalie maisha yenye kila aina ya mafanikio na baraka tele kutoka kwake Allah
ReplyDeleteMy deare sisy Jamila real nimefurah sana kuona upo katika hatuahiyo nina imani hiyo pia ni mfano mzima kwa police wengine pia mabint kama wewe nasi Pc Imma,Anold,Husein,David,Husein nami kakako Dismas tunaiga mfano wako.
Mola awatangulie katika yote na mjaliwe matunda ya ndoa mema.
its me DIPEMBA
Michuzi jamani ebu tupatie latest za mafutibolla waliovaamia Angola?
ReplyDeleteAise mbona maarusi wamefanana hivyo, mpaka wanafurahisha.
ReplyDeleteBREAKING NEWS-Team ya Togo wamevaamiwa huko Angola wakiwa wanasafiri kwa bus - mpaka sasa watu watatu wamekufa pamoja na kocha wa Togo wengine 9wamejeruhiwa. Sad sad sad
ReplyDeleteaki anano wi afandi jamila unamelimeti!!na mmeu pia anapig magoli kama hani akilo nzuli vili!
ReplyDeleteakilita zakuleti unamfungii kwenyi kaselo katogo hadi anakioni cha moto.nawewi usipeleki difendi uswahilino,watikuletea za huuu haaa wapige mashuti hadi mkimbii,lakini nawafagilia pale migomigo mliyapi majambawazi hadi nikawavulia kofia,asee wewe asee wewe!!aaaanameli! aanamelimetii,aaanameli!anamelimetiii.
Mchangiaji wa juu umeniacha hoi lol...yaani nimecheka mpaka nimelia lol
ReplyDeletekuna watu wana vituko sana tena sana
jamani kuna bambo humu ndani yani nimecheka mbavu zinauma eh we mdau hapo juu ni kiboko haki ya mbongo!!
ReplyDeleteNimekubali kweli Jamila ni Askari polisi huu mkao wa picha ya2 na na hisi hata mpambe ni afande hongereni sana,
ReplyDeleteMdau
Kisiju Pwani
Hongera mdogo wangu Jamilla, big sister love Shamohds
ReplyDeleteHongera bwana na bibi harusi,Wee anon wa juu hapo huujui utamu wa hina,laiti ungelijua utamu wa hina ungeufyata mdomo wako pamoja na hao wenzio waliocheka mpaka mkalia,ndio maana mnakimbiwa na mabwana halafu mnalia poleni sana.
ReplyDeleteHongereni maharusi..sema bw.harusi naona protocal hujaizingatia vizuri, unakaaje kulia kwa mkeo..alafu na kumwacha matron anachuka position yako...umeniangusha kwa hilo mwana! Otherwise big up mfano mzuri kwa wachezaji wnegine!
ReplyDeletekuna watu wanavipaji vya kuchekesha, kila ukisoma hio comment ya anon wa sat 06.27 na kuweka accent yake kicheko kinakuja chenyewe.
ReplyDeleteAma kweli polichi polichi bibi harusi huo mkao wake hata kulainika kidogo mwe! sasa mambo ya hina vipi au maadili ya kazi hayaruhusu? Ila hongereni sana na Mungu awabariki.
ReplyDeleteyani uyo Bambo mie sina mbavu,,,uwiiii ivi visa vya umu bloguni acheni
ReplyDeletembavuuuuu zanguuu