Home
Unlabelled
uzalendo unapomshinda mdau wa timu ya taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ebwana jamaa kapinda...Ila kama utamsikiliza mtangazaji anadai jamaa ni 'MAJINUUNI'..hicho ni kiarabu ambacho kiswahili chake ni MWENDAWAZIMU....kwahiyo kama ni kweli mshkaji hana kesi ya kujibu.
ReplyDeleteMmanga koko.
Ingekuwa Bongo angepigwa mpaka angezirai, Bahati yake. Hata hivyo namuunga mkono kama washambuliaji hawafungi nawe umetoa pesa yako, UNATAFAKARI na kuchukua hatua
ReplyDeletei laughed a lot its a crazy moment out dea even tho he tried 4 him self but he did not score a goal,but it still remains a wonderful moment of fan try to take matter on his hand and manage to miss a goal btwn him a goal keeper.thought it was easy yeah....noooooot
ReplyDeletebrilliant!! tunatakiwa kufanya hivi kwa stars la sivyo tutaishia kuwa kichwa cha mwendawazimu
ReplyDeleteKichekesho zaidi nafikiri ni golikipa ambaye anaonekana akijiandaa kikamilifu kulilinda lango lake. Unaweza kuona kabisa kuwa golikipa hakuwa na hakika kama huyo mushajja wa Indosesia angefuka goli lingekubalika au la. Huyo ni mzalendo hasa na si kwamba uzalendo umemshinda...
ReplyDeleteKipindi cha tiimu ya Tz ilivokuwa kichw cha mwendawazimu alihitajika mwendawazimu wa aina hii kuionyesha kuwa wako kundi moja la uendawazimu.
ReplyDeletenawaza jamaa atakuwa alikalia benchi weee, midadi ikamwanza akaona bora asimame akajitahidi kushangilia na kurusha mikono na kupiga kelele weee but whea, sasa akaona hawa wasinizeveze hapa, mi ntakwenda pale, nichukue mpira, nifunge goli.... doh, kuna ushabiki na unazi huu sasa ni kijazio chake. teh teh teh.
ReplyDeleteumbe jamaa ni Mushaija. hawa ni wato toka wapi vile?
ReplyDeleteKama ni mwendawazimu mbona hakutaka kwenda kufunga ktk goal lao, kajua anakokwenda ni right. ana akili timamu ndio akataka kuisaidia nchi yake.
ReplyDeleteHuu ndio uzalendo.
ReplyDelete(US Blogger)
SISI PIA TUNATAKIWA KFANYA HIVYO KWANI TIMU YETU NI BUTU AIFUNGI MAGOLI
ReplyDeletehuo ulikuwa ni mdadi tu.
ReplyDelete