Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ebwana jamaa kapinda...Ila kama utamsikiliza mtangazaji anadai jamaa ni 'MAJINUUNI'..hicho ni kiarabu ambacho kiswahili chake ni MWENDAWAZIMU....kwahiyo kama ni kweli mshkaji hana kesi ya kujibu.

    Mmanga koko.

    ReplyDelete
  2. Ingekuwa Bongo angepigwa mpaka angezirai, Bahati yake. Hata hivyo namuunga mkono kama washambuliaji hawafungi nawe umetoa pesa yako, UNATAFAKARI na kuchukua hatua

    ReplyDelete
  3. i laughed a lot its a crazy moment out dea even tho he tried 4 him self but he did not score a goal,but it still remains a wonderful moment of fan try to take matter on his hand and manage to miss a goal btwn him a goal keeper.thought it was easy yeah....noooooot

    ReplyDelete
  4. brilliant!! tunatakiwa kufanya hivi kwa stars la sivyo tutaishia kuwa kichwa cha mwendawazimu

    ReplyDelete
  5. Kichekesho zaidi nafikiri ni golikipa ambaye anaonekana akijiandaa kikamilifu kulilinda lango lake. Unaweza kuona kabisa kuwa golikipa hakuwa na hakika kama huyo mushajja wa Indosesia angefuka goli lingekubalika au la. Huyo ni mzalendo hasa na si kwamba uzalendo umemshinda...

    ReplyDelete
  6. Kipindi cha tiimu ya Tz ilivokuwa kichw cha mwendawazimu alihitajika mwendawazimu wa aina hii kuionyesha kuwa wako kundi moja la uendawazimu.

    ReplyDelete
  7. nawaza jamaa atakuwa alikalia benchi weee, midadi ikamwanza akaona bora asimame akajitahidi kushangilia na kurusha mikono na kupiga kelele weee but whea, sasa akaona hawa wasinizeveze hapa, mi ntakwenda pale, nichukue mpira, nifunge goli.... doh, kuna ushabiki na unazi huu sasa ni kijazio chake. teh teh teh.

    ReplyDelete
  8. umbe jamaa ni Mushaija. hawa ni wato toka wapi vile?

    ReplyDelete
  9. Kama ni mwendawazimu mbona hakutaka kwenda kufunga ktk goal lao, kajua anakokwenda ni right. ana akili timamu ndio akataka kuisaidia nchi yake.

    ReplyDelete
  10. Huu ndio uzalendo.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  11. SISI PIA TUNATAKIWA KFANYA HIVYO KWANI TIMU YETU NI BUTU AIFUNGI MAGOLI

    ReplyDelete
  12. huo ulikuwa ni mdadi tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...