Ankal Mechoodhe,
Kuna video mbili japo kiduuuchu hivi zinazoweza kuwapa watu ladha ya ulivyokuwa mtanange wa kabumbu la jana. Linki hii hapa:
http://bit.ly/5zSvt4
Tunamshukuru Dk. Tonny aka Spika, kwa kuturekodia.
Subi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. kweli tunaweza sio km kipindi hicho hila pia naomba nimshukuru sana rais mkapa kwa uwanja huu mzuri hila kilichonisikitisha nesho hili ni kuwa kwa mara ya mwisho niliweza kuliona likiwa la kijani kabisa hila duh mzimamizi wa uwanja huu hila hali imeanza kupotea na zile koka kuwa za kijana na baadhi ya maeneo kuwa na njano kabisa na baada ya miaka 2-3 nafikiri kwa usimamizi huu litakuwa shamba la bibi sasa hivi mi yangu macho tu

    ReplyDelete
  2. ...sante sana Subi "hila" sikuelewa maelezo ya juu...

    ReplyDelete
  3. kaka michuzi vibaya hivyo hata hujatuwekea kipart ambacho drogba anavyoifunga taifa stars tunaomba ujitahidi utuwekee hicho kisehemu plsssssssssss kaka michuzi!!!!

    ReplyDelete
  4. HILA WEE AL MUSOMA MKOROFI MBONA UNALIRUDIARUDIA NENO "HILA"

    ReplyDelete
  5. ankal michuzi nyie wazee wa taswiraz noma sana...ni kwanini wapiga picha wooote takribani 23 walijazana kwenye goli la Tanzania tu mwanzo-mwisho...kipindi cha kwanza walikua goli la kaskazini wakimgasigasi kipa wetu na flash za kamera zao...kipindi cha pili wakahama nae wakaenda kulundikana goli la kusini nyuma ya kipa wetu tena....ndo tuseme walishaamua kwamba mpira utachezwa kwenye goli letu tu? matokeo yale ile taswira ya kombora la Tegete lililopiga woodwork (besela)hawakuipata...haya, licha ya kumgasigasi kipa wetu hata hilo goli la Drogba hawajapata taswiraz yake...au walisinzia kwa vile gemu lilipigwa usiku?? acheni hizo ma-photojournalists...don't be biased and dont pre-judge things!!

    ReplyDelete
  6. Kuna jamaa mpiga picha alikuwa amevaa shati ya draft nyeusi na nyeupe alijaribu kwenda nyuma ya goli la codvwaa kupata taswiraz akatolewa nduki na FFU...!

    ReplyDelete
  7. nahitaji kueleweshwa hapa...ni kwanini wakati wachezaji wa reserve wa ivory coast walikuwa wanapasha/piga jalamba muda wote...wachezaji wetu wa Taifa Stars walikuwa wamejikunyata kwenye benchi na hata wakati wa sub walikuwa wanaingia tu bila hata kupasha kidogo...matokeo yake iliwachukua dakika 4 mpaka 7 ku-match pace ya game...hivi timu yetu haina physical trainer jamani??!

    ReplyDelete
  8. "THERE IS A HOPE ALL WE NEED IS TO FOCUS FOR THE FUTURE NATIONAL TEAM STRUCTURE AND ONLY MAXIMO CAN DELIVER IF HE SHOULD BE GIVEN FREE SPACE & MORE TIME TO COLLECT NEGATIVE RESULTS AND TURN INTO POSSITIVE BETTER FUTURE NATIONAL TEAM THAT PLAYS AS ONE TEAM WITH GOOD RESULTS"

    Mickey Jones Amos
    Denmark

    ReplyDelete
  9. kazi nzuri walofanya vijana team inatakiwa iwe inajiamini nice clip kwa kweli mithupu ee huyu commentator hajui tena hajui analeta story za maandazi ndani ya mpira ...sijui ulisikia anasema kuwa van basten ni mchezaji kutoka argentina!!!alafu anasema kuwa tatizo la taifa stars ni finishing na scoring!!!sijui anajua nini anafanya au vipi...mpira ungekuwa mzuri zaidi kama commentator wangebadilisha!!!!tuko nyumbani team ya nyumbani kwanza ndo majina ikisha ndo ya ugenini!!!na washabiki wameonekana kuchoka kabla ya wachezaji...wawe na spirit ya kop hawa jamaa...we'll never walk alone

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...