Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. samahani jamani mimi hii sijaielewa kabisaa.naomba nieleweshwe na anaefaham,pliz.

    ReplyDelete
  2. Wooow
    That's cool.
    Thanx for this,
    Because FEBRUARY is my birth-day
    God bless u MITHUPUUUU!

    ReplyDelete
  3. We anonymous wa kwanza hujaelewa nini sasa si uchukue kalenda uangalie, is that too hard phuuuu!!

    ReplyDelete
  4. Duh!hivi vitu vina wenyewe wakufuatilia,tunashukuru kwa kutufunza mambo kam haya,

    Mdau Andy KCB

    ReplyDelete
  5. wee anonymous wa tatu acha dharau na kiburi,huyo mwenzio wa kwanza ameomba kueleweshwa so kama wewe hujiskii kuelewesha mwingine ni heri ukae kimya.
    Napenda nimueleweshe huyo anonymous wa kwanza kuwa hizo 4 ni weeks,ni kwamba ndani ya mwezi wa pili kuna jumatatu 4,jumanne 4,jumatano 4,alhamis 4,jumatano,4,alhamis 4,ijumaa 4,jumamosi 4 na jumapili 4.
    Na kwa faida ya wengine ni kwamba last time ilitokea mwaka 1998.

    ReplyDelete
  6. fettiec, anonymous wa 3,everyone,
    naungana na wa 1, sijaelewa kitu hapo. kwa maoni yangu february zote ziko hivyo ukiachia leap year (once in every 4 years)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...