Home
Unlabelled
Welcome February 2010…!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
samahani jamani mimi hii sijaielewa kabisaa.naomba nieleweshwe na anaefaham,pliz.
ReplyDeleteWooow
ReplyDeleteThat's cool.
Thanx for this,
Because FEBRUARY is my birth-day
God bless u MITHUPUUUU!
We anonymous wa kwanza hujaelewa nini sasa si uchukue kalenda uangalie, is that too hard phuuuu!!
ReplyDeleteDuh!hivi vitu vina wenyewe wakufuatilia,tunashukuru kwa kutufunza mambo kam haya,
ReplyDeleteMdau Andy KCB
wee anonymous wa tatu acha dharau na kiburi,huyo mwenzio wa kwanza ameomba kueleweshwa so kama wewe hujiskii kuelewesha mwingine ni heri ukae kimya.
ReplyDeleteNapenda nimueleweshe huyo anonymous wa kwanza kuwa hizo 4 ni weeks,ni kwamba ndani ya mwezi wa pili kuna jumatatu 4,jumanne 4,jumatano 4,alhamis 4,jumatano,4,alhamis 4,ijumaa 4,jumamosi 4 na jumapili 4.
Na kwa faida ya wengine ni kwamba last time ilitokea mwaka 1998.
fettiec, anonymous wa 3,everyone,
ReplyDeletenaungana na wa 1, sijaelewa kitu hapo. kwa maoni yangu february zote ziko hivyo ukiachia leap year (once in every 4 years)