Ankal salaa alekum
mjomba kuna kuna wizi mpya wa line za simu umezuka,nimeona nikuambie ili uwaweke wadau wazi kuhusu hili.

kuna watu wanakupigia simu wansema ni sells representative wa mtandao halafu wanakuuliza kwa nini hujasajili simu wakati wewe ni mteja wao mkubwa?

halafu wanakuambia uwape detail zako ili wakusaidie kusajili
kisha waomba number za watu watano unaowapigia mara kwa mara ili kuhakiki. ukishawapa (hao matapeli) wanakwenda kwenye kampuni husika na kudai warudishiwe line kuwa wameibiwa simu na wanachukuwa Number yako.
Kifuatacho:
wanasubiri simu zako au ujumbe mfupi wa maandishi unaongia katika simu zako kisha wanaanza kuomba yafatayo kwnye SMS;
'' nipo kwenye kikao uspige naomba uniingize hela kwenye simu japo laki mbili kisha nikitoka nitakurushia jibu kwa sms'',(wanogopa kupigiwa kwa sauti itajulikana na kama ukipigia akipokea atakwambia mwenye simu hayupo ana kikao nipe maagizo)
muda mwingine hutoa vitisho kwa ndugu kuwa mwenye simu tumemteka,au wanadai kwa sms kuwa nimetekwa msinipigie nitumieni laki 5 kwa vocha nijikomboe,wakisha tumiwa huzitumia kwa njia wanazojua.
wananchi kaeni Chonjo
MDAU VNY

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kumbuka usitoe details zako kwa strangers,is as simple as that. dunia nzima wizi wa details ni wizi wa kawaida.

    ReplyDelete
  2. Moral of the story: When it comes to money issue, never trust SMS, may sure you confirm by talking to the sender

    Mdau G/Mboto

    ReplyDelete
  3. YOU SHOULDN'T BE DOING THAT ANYWAY!!

    ReplyDelete
  4. The simple principle is: Never reveal your personal details to strangers. Banks, utilities, employers will NEVER call you to ask for those details as they already have sufficient information on you, anyway...

    ReplyDelete
  5. hu wizi mie kidoogo unkumbe last week nipoona simu yangu haifanyi na nilipigiwa kutoa number nikaenda mwenyewe kuuliza mbona nisajili na imekuwa Dead ndo niaambiwa kuna wizi mpya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...