Home
Unlabelled
yanga yaibanjua manyema fc 3-1 leo ligi kuu ya vodacom
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwendo Mzuri yanga bila shaka tutafika tu kwenye Ubingwa>Yanga oyeee.
ReplyDeleteMwana Yanga asili.
Jana simba kashinda mbona haukuposti?
ReplyDeletehongera yanga,nafasi ya pili ni yenu,maana mwendo ni mzuri
ReplyDeleteAnkal hii ni blog ya jamii sasa mbona unaleta unazi za yanga umeziweka za simba mbona umezibania inakuaje kuaje hapo?
ReplyDeleteAahh! Baba-Abdalah King Kibaden Mputa. Maneno ya Sinza Kwa Remmy ayo baba!
ReplyDeletekocha yuko kwenye benchi huku ameshika mobile phone?? ina maana anaweza kupigiwa simu na akaipokea!!
ReplyDeletewacha timu yake ifungwe!!!
No way,this is unfair,au ndio unazi wenyewe?Mbona Simba wameshinda juzi hukupost kwenye blog yako?kuwa fair michuzi tunakuaminia ktk kutujuza habari mbalimbali,usituangushe bwana na si Simba tu,hata matokeo ya mechi nyengine tutafurahi zaidi.Asante.
ReplyDeleteking kibaden ni mchezaji wa kuigwa tz.
ReplyDeleteUNCLE MICHUZI BLOG YAKO HUWA INATOA MATOKEO YA YANGA TU... MATOKEO YA MNYAMA (SIMBA) HUYAWEKI KAKA AU UNASUBIRI MPAKA SIKU TUFUNGWE? HUTUTENDEI HAKI.
ReplyDeleteNDIYO TUNAJUA WEWE NI YANGA LAKINI UNASAHAU KUWA HII BLOGU NI YA JAMII SIYO YA YEBOYEBO PEKE YAO UNCLE