Kipa wa African Lyon, Ivo Mapunda akijaribu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar leo. Hadi mwisho wa mchezo matokeoa yalikuwa 0-0.
Mshambuliaji wa timu ya African Lyon, Mbwana Samatta (shoto), akiruka daruga la beki wa Moro United, Soud Amour, wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar leo. matokeo ni 0-0.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...