Home
Unlabelled
ALI KIBA LIVE IN BRISTOL!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tunashangaa sana huyo ali kiba hajibu hata sikumoja msg zake katika facebook au mail yake. As an artist watu wanamuandikia kwa kumtafutia Gigs, au yeye anafanya Gigs kupitia marafiki tu.
ReplyDeleteAelewe kuwa tabia ya kujiona na kuchagua chagua sio nzuri, wanaokupa au kukutaka utoe show ndio wanaokufanya jina lipande juu, yeye ameshajiona super star sio.
Wee ali kiba jifunze biashara, utakuwa unatoa show kwa watu uwajuao tu, alafu achaga kutoa ahadi za kijinga na kufanya booking za mara mbili mbili kwa watu tofauti kwa siku zinazofanana na matokeo yake hauonekani.
Utajiharibia sifa za artist kama mtu si muaminifu kwa kile unachokiahidi kwa watu, watu wanaingia costs kwaajili wakunyanyue.
Kifupi tu, acha maringo yakuchagua wakina nani unawapa showz, sisi tuliokuandikia mara bibao hutujibu na wakati tunataka kukupa show hapa europe kabla haujaenda mbali.
kumbuka: MONEY TALKS BULLSHIT WALKS.. so kama unajua maana ya kuwa artist kibiashara jifunzage kutumia mtandao na mail, na facebook kuwajibu wakuandikiao, chukuanga mda kila siku atleast lisaa moja kucheki mails zako na kujibu please.
Acha kupendelea baadhi ya nchi kwaajili ya shows zako, na kama unamanager basi jibu tumtafute nani kwaajili ya kufanikisha shows upate kifuta jasho, tabia hiyo ya maringo utakujaenda down one day, only the strongest survives.
wako katika kuiendeleza bongoflava europe...
sawasawa mdau hapo juu wapashe hawa watu wanadhani watakaa juu siku zote una wengine wanakuja chacharika mapemaaa mbona jayz hana hizo na ana mifweza ya kufa mtu msilete mapozi wakati wa kuzisaka pesa ebo! mchagua jembe si mkulima
ReplyDeleteAK NJOO TENA MAREKANI.
ReplyDelete