Salaam bro,

Lile shindano la short-film la BBC World Service uliloweka kwenye blog yako, tayari nimeshachangamkia nafasi kwa kutuma kazi yangu na wameshaiweka kwenye website yao hii hapa
http://www.bbc.co.uk/worldservice/arts/2010/
02/100212_tanzania_myworld_2.shtml
Watazania wengine wajitokeze pia kutuma kazi zao.

Ibrahim Matukuta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka iunge tena hii link inatakiwa kuwa http://www.bbc.co.uk/worldservice/arts/2010/
    02/100212_tanzania_myworld_2.shtml
    la sivyo hawataona kitu.

    ReplyDelete
  2. ndugu yangu kazi nzuri picha clear mtu wa camera alikuwa katulia...pia editing safi.good luck.
    Tuwasiliane ndugu yangu tupo pamoja katika industry hii ya media.
    10GA[UK]

    ReplyDelete
  3. Kazi nzuri sana. Kiwango nimekikubali. Picha nzuri, ujumbe ni mfupi, unaeleweka na unaelimisha.

    Kitu kidogo tu ni kwamba anayetoa simulizi kama anaongea taratibu kidogo "she's kind of dragging the story". A little bit of pace in her narration could have been better. Don't take this advice too seriously because I know nothing about film but that's just the feeling I got when watching it.

    LA MUHIMU NI KWAMBA KAZI NI NZURI SANAAAA. HONGERA

    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...