Wiki ya Fashion Show hapa New York ilianza tarehe Februari 11 na itaisha Februari 2010. Kwa maana nyngine, hiyo jumamosi ilikuwa zamu ya Waafrika. Kampuni tatu zilizoshiriki ni: Black Coffee kutoka Afrika Kusini, Deola Sagoe kutoka Nigeria, na Loin Cloth kutoka TANZANIA, ambayo Designer na Mmliki wake ni ANISA MPUNGWE Tunampongeza sana Anisa kwa kupeperusha Bendera ya Tanzania hapa Jijini New York.
Juu toka shoto ni Modest MERO, Bi. Asha MJENGA, Mama MAHIGA, Bi. Anisa MPUNGWE (Fashion Designer), Balozi MAHIGA, Bi. Rose MERO, Bi Rose MKAPA, na Ndugu Omar MJENGA.
Mdau wa New York


jamani hiyo safu ya majina inantisha ....
ReplyDeleteEbwana huyu Anisa ni kumbe ni top class designer! Inapendeza kuona vijana wa kiTanzania wakifanikiwa namna hii........Go Anisa!
ReplyDeleteJamani mm ni model na ninatafuta kazi naomba kama kuna mtu ana itaji modek wa kike awasiliane nami natanguliza shukrani zangu
ReplyDeleteHongera sana Anisa binti yetu. Well done. We are proud of you.You have done well for your parents Ami na Anita Mpungwe. This is your uncle Patrick.
ReplyDelete