Jumamosi kwenye ukumbi wa Bryant Park jijini New York kulikuwa na onesho la Fashion Show, na siku hiyo ilikuwa zamu ya kampuni ya Arise ambayo ilikuwa mdhamini mkuu wa Kampuni tatu kutoka Barani Afrika.


Wiki ya Fashion Show hapa New York ilianza tarehe Februari 11 na itaisha Februari 2010. Kwa maana nyngine, hiyo jumamosi ilikuwa zamu ya Waafrika. Kampuni tatu zilizoshiriki ni: Black Coffee kutoka Afrika Kusini, Deola Sagoe kutoka Nigeria, na Loin Cloth kutoka TANZANIA, ambayo Designer na Mmliki wake ni ANISA MPUNGWE Tunampongeza sana Anisa kwa kupeperusha Bendera ya Tanzania hapa Jijini New York.

Juu toka shoto ni Modest MERO, Bi. Asha MJENGA, Mama MAHIGA, Bi. Anisa MPUNGWE (Fashion Designer), Balozi MAHIGA, Bi. Rose MERO, Bi Rose MKAPA, na Ndugu Omar MJENGA.

Mdau wa New York

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. jamani hiyo safu ya majina inantisha ....

    ReplyDelete
  2. Ebwana huyu Anisa ni kumbe ni top class designer! Inapendeza kuona vijana wa kiTanzania wakifanikiwa namna hii........Go Anisa!

    ReplyDelete
  3. Jamani mm ni model na ninatafuta kazi naomba kama kuna mtu ana itaji modek wa kike awasiliane nami natanguliza shukrani zangu

    ReplyDelete
  4. Patrick TsereFebruary 16, 2010

    Hongera sana Anisa binti yetu. Well done. We are proud of you.You have done well for your parents Ami na Anita Mpungwe. This is your uncle Patrick.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...