Mshambuliaji wa JKT Ruvu Amos Mgisa (shoto) akichuana na beki wa Azam FC, Erasto Nyoni wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, siku ya jumatano. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hizi taarifa ni sahihi? nilidhani Kagera wanacheza na Yanga leo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...