PLEASE BE CAREFUL WHENEVER YOU'RE USING A public computer (Like INTERNET CAFES. ETC ). CHECK THE BACK OF THE PC AND SEE IF THE BELOW DEVICE IS THERE....
IF SO..then DO NOT USE IT!


After you enter the bank account and leave the PC it will be easy to open your account again as all what you have typed has been saved in the Black device. Therefore, you should check the PC for any suspicious piece behind it before using the net in public places for important sites.
Please send it to all who you know to
educate them against this fraud!
As usual, hoax.
ReplyDeleteAaah bwana acha kutufanya mambumbumbu. Hiyo ni adapter kama port ya PC ni PS/2 na connector ya keyboard ni ile ya pin kubwa (nshasahau inaitwaje maana nilitumia mwaka 47). Unachomeka hiyo adapter maana ina female ya pin kubwa na upande wa pili PS/2 male ambayo ndio inaingia kwenye PC.
ReplyDeleteasante mdau kwa angalizo
ReplyDeleteIt's a keylogger, we use it to monitor kids internet usage, apparently, hackers found it a good source for stealing sensitive informatin. There is also a grey/silver colored device, to be on the safe side, just look for anything that connects between the computer and the long port, some of them are visible the hard to find ones are hidden and difficult to see, and to be extra safe, do not type your sensitive data in a public computer, better still, use a portable version of web browsers like Firefox or Google Chrome etc.
ReplyDeleteWadau!!
ReplyDeleteKuna ule msemo wa kiswahili, "Mdharau mwiba.........." Kuna mchangiaji wa kwanza hapo juu kakurupuka na kutoa dharau kwamba tusifanywe mbumbu na vitu kama hivyo, ina fact huyo nadhani angekuwa victim namba moja, maana yeye anaifahamu tu hiyo adapta ya PS2 ndio imemziba macho. Napenda tu kutoa tadhari kuwa technology inakwenda kasi mno, na hizi hardware zipo nyingi mno. Unaweza ukawa hata IT engineer au technician lakini usifahamu hardware au software zote zilizopo kwenye market. Kwa hiyo mtu anapotoa angalizo yafaa kuchukua tahadhari badala ya kujifanya mjuaji kumbu hujui. Hiyo device ni kweli ipo, lakin ilitengenezwa kwa malengo ya kumonitor matumizi ya computer kwa watoto na wafanya kazi. Isipokuwa watu wabaya wanaitumia visivyo. Ndio kama hivyo wanaweza kuitegesha Net cafe ukiingiza information zako kama za bank ni rahisiiiiii wanazidaka. Ila pia zipo software zinaweza kufanya kitu kama hicho, anagalia hii link hapa http://www.key-logger.ws/ > Na tena software ni mbaya maana hiyo inakuwa in the background kiasi kwamba hakuna kitu physical cha kukujulisha kuwa kuna software kama hiyo inarun kwenye hiyo PC ya cafe au sehemu ningine. Cha maana ni kuwa makini hasa unatmia internet maeneo ya public usipende sana kuweka information nyeti. Pia wabongo tujaribu kuwa positive, mtu anapoa angalisho sio kwamba anawafanya wengine ni mambumbu, isipokuwa elimu haina mwisho, unachokijua wewe sio lazima kila mtu anajua, so ni vizuri kushare kama hivi. Kama tayari unajua poa, hudhuriki kwa lolote.
Asante kaka michuzi kwa jitihada zako za kueleimisha jamii, wadau wengine wenye mitazamo chanya.
Aaaah watu bwana, kila kitu wanatishia watu, hiyo ni adapter kwa ajili ya hiyo keyboard, na pia usb mouse nyingi watu pia huweka adapter kwa pc ambazo usb ports hazitoshi...acheni kutisha watu ebo
ReplyDeleteANGALIA HAPO:
ReplyDeletehttp://www.devhardware.com/forums/peripherals-72/keyboard-typing-tracker-device-true-194065.html
Jamani mbona tunakuwa wajinga namna hii!ndugu zetu hapo juu wametupa hadi link bado mnabisha!!Hiyo ndiyo true definition ya kuwa mind locked, cheki hiyo link ndiyo utoe opinion yako!!LOSER!!
ReplyDeletehii ni kweli hiyo device inaitwa keykatcher tunatumia kukamata watu wanaotumia computer kazini
ReplyDeleteThis keystroke logger secretly records all typing on the keyboard. Capture logins, passwords, messages, and chats. KeyCarbon USB Keystroke Keylogger.
kama huamini type kwenye keykatcher kwenye google.com
Kuna watu hujifanya wanajua kila kitu kumbe c lolote, unaongelea adaptor kwakuwa ndo unayoijua tu, kwani nani angeamini kama mtu anaweza kuvaa kifaa cha kulipulia ndani ya chupi? na pia alipita mpaka katika ukaguzi! Acheni kujifanya mnajua kila kitu. LOSERS!
ReplyDeleteha ha ha ha
ReplyDeleteuwiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteInterneti CAFE ni PUBLIC PLACE SASA WEWE USITUMIE FOR UR PRIVATE AND SENSITIVE STUFF PERIOD.
ReplyDeleteKAMA HUNA INTERNET NYUMBANI AMA KWA OFISI WEWE ACHA AU UTAUMBUKA. HII PIA NI PAMOJA NA ZILE WIFI SPOT USITUMIE WAJANJA HUWEZA KUHAIJACK HIZO NETWORK AU WAKATI MWINGINE UNAKUTA WIRELESS ACCOUNT AMBAZO HAZIKO LOCKED SISI TUNATUMIA LAKINI SIO KWA SENSITIVE AND CONFIDENTIAL INFORMATION.... MWENYE MASIKIO NA ASIKIE UMESHAAMBIWA.
KILATINO WANASEMA...CAVEAT EMPTOR = Buyers beware)= mdharau mwiba guu huota tende! (sijui nimepatia?!)
Mzawa
acheni ubishi nyinyi utomaso tuu hadi mmepewa link babo ubishi tuuuu mmemzidi hata madenge kwa umbumbumbu lol! kila dakika mambo yanabadilika tizameni news someni magazeti vitabu fungueni mawebsite panueni hizo oblangata zenu
ReplyDeleteTwashukuru wadau kwa kutuhabaraisha, lakini , kama mdau alivyosema hapo juu teknolojia inakwenda kasi, kwani wenye hizo public computers wakiamua kuweka kifaa kama hicho ndani kwa ndani si watakua wameweka siku nyingi tu? ushauri wa aliyesema tusitumie public computers for sensitive and private business ni mzuri.
ReplyDelete